Nahitaji mwanaume wa kunioa

Nahitaji mwanaume wa kunioa

Chura yupo??? Kama single maza mahari yako haizidi kuku watatu........ila kama chura yupo na sio single maza mbuzi watatu na kuku 5
 
Duuuh hadi na mimi kumbe nina vigezo vya kuoa kweli soko ni la moto
 
Huku ni kumoto Wii...
Nimesikia amesema anataka Mchagga😀
Kwahiyo anataka mchaga mwenzie? 😹😹
Huyu anaua brand ya wachaga, mbona nyie wifi mnaolewa sana kuliko kabila lolote!! Nini kimetokea tena? 🤣
 
Ushakunywa p2 zimekuchosha... Umetoa mimba hadi kizazi kimelegea... Umekesha bar na pombe na shisha umevuta... Miaka 29 umeona umeaga mashindano umeingia ktk ushangazi tena ushangazi wa kichaga 💩🤣 unataka mwanaume...
Weee shangaz wee embu kuwa serious basi, cha muhimu kwa sasa subiri kuzalishwa utelekezwe ukae nyumban kwenu kishumundu uongeze idadi ya singo maza, uishie kuita wanaume wote mbwa 🤣💩🤣
Halafu najua utakuwa na komwe, embu tuache basi tulikuwa tumekaa kimya
Haijakaa sawa hii, mwanaume mzima Tena inawezekana ukawa unaitwa baba kuongea mipasho namna hii.
 
Usilete utani kwenye jambo la kuolewa. Vipi we ni single mothers? Uliwahi kuolewa au ulizaa kirafiki tu? Unafanya kazi gani? Sio uje upate mume halafu ugeuke mwiba kwa mwenzako! Mume utapata, kwanza una umri mzuri kuolewa, kuna mijibaba iko chini ya miaka hamsini inataka kuoa binti reproductive active, kama hutajali sema tu upate mume fasta, usilete mapozi utadoda endapo utachagua sana mume wa kukuoa
 
Back
Top Bottom