Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Sasa si uwakubalie wanaokutongoza huko duniani. Fanyeni mapenzi ukipata ujauzito usimwambie mlime kibuti kimya kimya.
Umeniwahi mkuu. Asante. Hivi dunia ya Dar au hata Tanzania nzima, kweli mwanamke atataka kupata ujauzito akose wa kumpa? Kwanini asijilengeshe kwa mwanaume yeyote atakayemchagua? Mwanzoni wanaweza kuanza kutumia condomu ila baadae akamshuri wapime. Mambo yakiwa mazuri wacheze kavu kavu na akipata ujauzito apotee kiaina. Tena hili ni rahisi kuliko huu ''m-tangazo'' wake.
 
Umeniwahi mkuu. Asante. Hivi dunia ya Dar au hata Tanzania nzima, kweli mwanamke atataka kupata ujauzito akose wa kumpa? Kwanini asijilengeshe kwa mwanaume yeyote atakayemchagua? Mwanzoni wanaweza kuanza kutumia condomu ila baadae akamshuri wapime. Mambo yakiwa mazuri wacheze kavu kavu na akipata ujauzito apotee kiaina. Tena hili ni rahisi kuliko huu ''m-tangazo'' wake.
Andiko kama hili huwa na lengo mahsusi na sio hiki tunachoaminishwa
 
Kumbe bado huna akili za kitoto sana,elimu yako haijakusaidia kitu na kama ww hautokufa siku 1, mtt atabak na nani!? Tabia yako ya lesbian imeanza kukuathiri kisaikolojia.
Huyu ayuko sawa kichwani
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,

Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,

Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,

Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,

SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu

2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)

3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana

4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha

5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu

6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano

7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya

SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu

2. Lesbian

3. Ready kua Mama

4. Umri miaka 28

5. Nipo Dar es salaam

NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.

Mawasiliano yawe PM.

Natanguliza Shukrani.
Kwa hayo maelezo na masharti uliyotoa ni bora ukatafute kichaa mmoja umkamate uzae naye kinguvu kisha aende zake.
Maana mtu mwenye akili zake timamu hawezi kukuelewa.
Yaani yeye akuzalishe tu kisha aende zake,sasa yeye faida yake itakuwa ni nini?
 
Si mnajifanya mnasapot mapenzi ya Jinsia Moja na kuharibu jamii, mkiambiwa hayo mapenzi ya namna hiyo yanaenda kuua Kuzaliana mnaanza kununa.


Haya wewe si Jike dume unaosaga wasichana , tafuta Binti umpe Mimba mzae.

Ng'ombe wewe

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom