Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Yani kwa masharti hayo nikajua kuna donge nono[emoji39]what is in for my sperms, huyo ni sperm donor bibie unatakiwa umlipe.

Yan umeandika kwa kujiamini sana kumbe unataka huduma for free[emoji1787][emoji1787]

Either way anaeweza kugawa sperm zake under that circumstance ni kichaa tu na ww umesema awe na akil timamu.
Na jinsi alivyoandika inaonekana hata muda wa kunyanduana hakutakuwa na zile feeling za kiromantic yaan utapewa mashariti mpaka basi kama usinishike huko mara humalizi tu,tuishie hapa nimechoka
 
mimi niko poa kiafya sina shida miaka 32 na niko tayari ila kuna shariti moja ndo gumu tu, kama unaweza niwe naona picha zake basi karibu PM hata kama asipo mjua baba yake sawa.
Yaani mtu unakuwa tayari kutelekeza damu yako kwa msagaji? Hivi akili huwa mnazitumia kufanya nini?
Kwanini usioe mke upate watoto kama unahitaji watoto badala ya kutelekeza damu yako kwa huyo mshenzi halafu mwanao aje nae asagwe au afanywe shoga aanze kukulaani Kwanini ulimzaa na kumtelekeza kwa huyo shetani?
 
Yaani mtu unakuwa tayari kutelekeza damu yako kwa msagaji? Hivi akili huwa mnazitumia kufanya nini?
Kwanini usioe mke upate watoto kama unahitaji watoto badala ya kutelekeza damu yako kwa huyo mshenzi halafu mwanao aje nae asagwe au afanywe shoga aanze kukulaani Kwanini ulimzaa na kumtelekeza kwa huyo shetani?
sina noma.
 
[mention]Mariposa [/mention] Mi naona ni kheri utafute mzungu au ukifanikisha kupata asie raia wa nchi hii ndo itakua vizuri zaidi, hatakama mtawasiliana na kumtumia picha ila hatokusumbua kama mtu wa hapahapa, kibongo bongo kuna mawili either uyo mtu atakubadirikia baada ya kupata penzi lako huenda akakupenda na tena akiwa anahuakika kaacha mbegu zake na mimba lazima tuu atarud kutaka muungane (LAZIMA ATAKUSUMBUA SANA) sababu hamna mkataba!

Na ukijiroga ukasema umtumie picha za mtoto atakama keshamove on trustme atarud tuu hatokubali kutomwona mwanae na mwanae kutopata ubini wa baba ake ndo vitamchanganya kabisaa atakama ndo yalikua makubaliano.

Wazo la mwisho kama unauwezo basi kubaliana na atayekuja kukupa mimba avae mask usoni na wewe uvae mask usoni jenga mazingira yakutofahamiana kabisa baada ya pale usijifanye wabongo kama hutujui vizuri, usiombe keshakupa mimba alafu mkutane sijui kwenye mwendo kasi alafu umebeba katoto kazuuuri hehe UTAJUA HUJUI,,,,NYOTE MNAWEZA KUBADIRIKIANA TU.
Nimechekaaaa ila umeongea point kubwa sana,
Ahsante sana Beemind nimependa ushauri wako
 
Kama una uwezo kweli wa kulea then ongeza vigezo, ili uongeze probability ya mtoto wako kufanikiwa

Things like:
1. Academic excellence ili upate mtoto kipanga darasani
2. Sports excellence labda ligi kuu, daraja la pili n.k wa any type of sport you like/prefer
3. Business established individual ili upate mtoto atakayekuwa na entrepreneurship mindset
4. The list can go on as you prefer, you are paying for expenses so you should be picky.
All the best.
 
UZI ZA KIPUMBAVU KAMA HIZI ZINATEMBEA BALAA!
WAKURUGWA HIVI MNAELEWA ZUNGU NA MWIGULU WAMEWEKA TOZO NYINGINE YA SIM CARD/LAINI ZA SIMU??!

Anyway, endeleeni kufurahia Uzi pendwa wa kumzalisha msagaji!
 
Si uende ukapandikizwe mimba hospitali,au unataka utamu wa dyudyu la yuyu ili upime ikiwezekana uachane na usagaji mazima hapa unatuzuga tu??
Unaijua bei ya kupandikiza lakini?
Kama utanilipia nipo tayari hata sasa hivi
 
Hakuna lesbian kwenye Mimba,

Hii mbinu unayotumia ni ya kunasa mwanaume ili baadae awe mbeba mizigo yako.

Sasa mwanaume jichanganye tena nyie wenye status na KAZI zenu za heshima mtapelekwa madawati ya jinsia Hadi mchakae na aibu juu.



Huu ni mtego. Huu ni mtego. Kama anataka mtoto aende kupandikiza mbegu. Anachofanya hapa kuna watu wanategwa.



Narudia tena hakuna lesbian kwenye Mimba. Tumeona Lesbian waliokubuhu zaidi ya huyu Ila walipochapwa Mimba wakawa full wanawake.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo Lesbian ni nani?

Elimu muhimu
 
Hongera sana dada Mariposa, umetumia busara nyingi kwani lesbian wengi wakizeeka wanakuwa wapweke mno, Bora wewe Hadi ukizeeka uwe na mtoto mmoJa au wawili wazurii wa kukuliwaza, kuwatuma hapa na pale na kuona vituko na vimbwanga vyao maana watoto ni tabasamu na burudani la wazazi.

Ila na wewe ni Bora ungeweka sifa zako hata Kwa mbali kama vile wewe ni mweupe, maji ya kunde au mweusi, mrefu au mfupi au katikati, ni mnene au mwembamba, ni dini Gani, una elimu Gani, unaishi mkoa Gani na una kipato kiasi Gani kwamba una mahela, una hela kiasi au maskini kabisa unategemea wazazi ili hata bwana anayekuja kukupa mimba awe na amani Kuwa mtoto wake ataishi maisha ya stara na maisha nafuu.

Sio baada ya miaka 2 au 3 ukimcheki mtoto hata Kwa mbali umuone kachooka, anaishi maisha duni na kusoma shule duni miksa kusimangwa muone kwanza kichwa kikubwa kama Cha baba Ako au masikio makubwa kama ya baba Ako.
Mstari wa mwisho umenichekesha sana, Mtoto wangu hawezi fikia huko kwa uwezo wa aliye juu,

Ila umeuliza maswali ya msingi sana ambayo hakuna hata mmoja aliyeniuliza,

Ndio maana nikasema kigezo ninachoangalia ni AKILI TIMAMU,

Kayimukaa una Akili sana.
 
Ngoja nakutafutia lakini whatever the case ikitokea ukampata mtu wa vigezo na masharti yako bado ni vema ukawa na kumbukumbu zake ama hata za ndugu zake kwakuwa hatujui future itakuletea nini.. Kuwafahamu ndugu wa baba mtoto ni hakiba ya baadae
Ushauri wako nimeupokea huu,
Siwezi kukupinga kaka
 
Mtoto atakayekuja kuzaliwa atanilaumu kwa maamuzi ya kumleta duniani
 
Ndo tunapoelekea!!!! Lesbian bila ata uwoga au ndo mnatuandaa kisaikolojia kwa ndoa za jinsia moja?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom