Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]fursa hiyo changamkia
As long as una akili timamu. Tena jitahidi umjaze mapacha kabisa
Kigezo cha akili ndio kimenichomoa 😄😄😄 alafu Lesbian sio wa kumuamini unaweza maliza nae akataka kukufanya ndio baraa litaanzia hapo
 
Yan ata kichaa hawezi kufanya unalotaka, yaan nikuachie damu yangu alafu nisijihusishe wala kujua mwanangu anaendeleaje??? Sio kweli.
 
Hongera sana dada Mariposa, umetumia busara nyingi kwani lesbian wengi wakizeeka wanakuwa wapweke mno, Bora wewe Hadi ukizeeka uwe na mtoto mmoJa au wawili wazurii wa kukuliwaza, kuwatuma hapa na pale na kuona vituko na vimbwanga vyao maana watoto ni tabasamu na burudani la wazazi.

Ila na wewe ni Bora ungeweka sifa zako hata Kwa mbali kama vile wewe ni mweupe, maji ya kunde au mweusi, mrefu au mfupi au katikati, ni mnene au mwembamba, ni dini Gani, una elimu Gani, unaishi mkoa Gani na una kipato kiasi Gani kwamba una mahela, una hela kiasi au maskini kabisa unategemea wazazi ili hata bwana anayekuja kukupa mimba awe na amani Kuwa mtoto wake ataishi maisha ya stara na maisha nafuu.

Sio baada ya miaka 2 au 3 ukimcheki mtoto hata Kwa mbali umuone kachooka, anaishi maisha duni na kusoma shule duni miksa kusimangwa muone kwanza kichwa kikubwa kama Cha baba Ako au masikio makubwa kama ya baba Ako.
 
Wewe ni mwanaume umeamua kuja na I'd ya kike ili kuwachora wanaokufata PM.
Muhimbili Wana bank ya sperm donor kwanini usiende uko?
Maelezo yako yanapingana..!!! Mara useme yeye ni mwanaume, halafu ghafra uliyemwita kuwa ni mwanaume unamtaka aende sperm bank ya Muhimbili akawekewe sperms..!!
 
Ahsante sana Kaka angu Mshana kwa ushauri mzuri wenye maneno ya busara na tone ya upole,
Najiombea sana na mimi jambo langu lifanikiwe lakini kama hutojali hata kwa PM unitajie hizo taasisi zinazouza mbegu niwatafute kama nitamudu gharama zao
Ngoja nakutafutia lakini whatever the case ikitokea ukampata mtu wa vigezo na masharti yako bado ni vema ukawa na kumbukumbu zake ama hata za ndugu zake kwakuwa hatujui future itakuletea nini.. Kuwafahamu ndugu wa baba mtoto ni hakiba ya baadae
 
HUYO MWANAUME UTACHUKUA NYOTA YAKE NA KUMUACHIA MIKOSI YA KUTOSHA!

UNAANZAJE KUZAA NA MSAGAJI?

WAZEE WA ULIMWENGU WA KIROHO MTANIELEWA!.
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,

Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,

Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,

Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,

SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu

2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)

3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana

4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha

5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu

6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano

7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya

SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu

2. Lesbian

3. Ready kua Mama

4. Umri miaka 28

5. Nipo Dar es salaam

NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.

Mawasiliano yawe PM.

Natanguliza Shukrani.
Wanasemaga hivi baadaye mwanaume unaingizwa choo cha kike. Utajuta. Ingia mkenge home!
 
Yani kwa masharti hayo nikajua kuna donge nono[emoji39]what is in for my sperms, huyo ni sperm donor bibie unatakiwa umlipe.

Yan umeandika kwa kujiamini sana kumbe unataka huduma for free[emoji1787][emoji1787]

Either way anaeweza kugawa sperm zake under that circumstance ni kichaa tu na ww umesema awe na akil timamu.
You are absolutely right [emoji117] [emoji857][emoji857]
 
Ukipata mchaga ni lazima baba wa mtoto ajulikane ili Mila iwe sahihi kwa mtoto. Nakushauri piga teke usagaji ili uishi katika maisha ya ndoa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom