Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aje pm mentampa bureSasa si uwakubalie wanaokutongoza huko duniani. Fanyeni mapenzi ukipata ujauzito usimwambie mlime kibuti kimya kimya.
Mkuu, tuletee link ili watu wasitumbukie shimoniHiki anachokitaka mtoa mada,
Kishawakuta jamaa wengi tu wa humu jf,
Shuhuda Ni nyingi mno na wengi wanajuta.
Kwamba ilikuwaje mkuu? mens12This is my confession I already done this with the lady next door, ili happen strangely sana.
Wakumtongoza watoke wapi!!? Wangekuwepo unadhani angekuja huku? Hiyo sura yenyewe umeiona??Sasa si uwakubalie wanaokutongoza huko duniani. Fanyeni mapenzi ukipata ujauzito usimwambie mlime kibuti kimya kimya.
Unamaanisha sio kila samaki Ni mboga wengine Ni wa mapambo.Wewe bora usizae tu!! Manake unaongea kwa misimamo ile ile ya kilesbian lesbian!! Kiufupi huwezi kutoka huko ulesbianini!! Huyo mtoto atakuwa either shoga au lesbobo mtarajiwa! Ni bora ukabaki hivyo hivyo na ulesbobo wako kuliko kumuingiza kiumbe asiye na hatia kwenye huo ulimwengu wenu!! Endelea tu kusuguana na wenzio,sio kila mwanamke anaweza kuwa mama!! Tulia huko huko kwenye ulimwengu wako!
Sio Kama hajitambui vile,huyu mleta Uzi HAJITAMBUI.Mbona hueleweki? Huyo mwanaume anafaidika na nini kwako kwa kutumia muda wake kukutia mimba maana unasema baada ya tendo hutaki mjuane tena na wala hutoi malipo yoyote kwake. Kumbe unataka msaada lakini bado unaweka masharti meeeeengi? Kama hujitambui vile!!!!
Tatizo lingine.
Eti nisiwe busy nikiendelea kumtafutia mtu mtoto wake na mimi sitakuwa na haki ya kumuona?
Mimi nafaidi nini?
Kusex na mtu asiye na hisia na mimi!!!
Labda hili ataliweza
mzabzab
🤣🤣🤣🤣Nilishangaa sijaona hili swali,
Niko Dodoma hapa mkuu njoo pmRejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,
Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,
Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,
Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,
SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu
2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)
3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana
4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha
5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu
6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano
7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya
SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu
2. Lesbian
3. Ready kua Mama
4. Umri miaka 28
5. Nipo Dar es salaam
NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.
Mawasiliano yawe PM.
Natanguliza Shukrani.
Kha! Tafikiria hapa jf mpenda mbususu ni mie peke yangu. Ebu wacheni kunisingizia bwanaYaani hayo masharti aliyoweka utadhani yeye Ni special being from Jupiter,hapa atampata mzabzab mroho wa mbususu tu😂
Ndo manake JojoUnamaanisha sio kila samaki Ni mboga wengine Ni wa mapambo.
Sawa kabisa nimekusoma vizuri andiko lako.yeye aendelee tu na mitikasi zakeNdo manake Jojo
Sijui ulilogezewa mbususu!Kha! Tafikiria hapa jf mpenda mbususu ni mie peke yangu. Ebu wacheni kunisingizia bwana
Njoo Dm nikupe Contact