Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Wanaume wa Dar wauwawe tu hawana maana, huyu bint mpka anafika huku hamumuoni?

Anyway fursa ya kuosha rungu hiyo àpo mabaharia wangu.
 
Mnaojipanga kwenda kwa Mariposa
Huu Uzi wa bwana Andrew123 utawafaa Sana[emoji116]
Si umuache mwenzio atafute anachotaka..

Huyo mwanaume si mtu mzima na ana akili timamu..He will figure it out by himself, siyo unashikilia bango tangazo la mwenzio
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,

Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,

Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,

Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,

SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu

2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)

3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana

4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha

5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu

6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano

7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya

SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu

2. Lesbian

3. Ready kua Mama

4. Umri miaka 28

5. Nipo Dar es salaam

NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.

Mawasiliano yawe PM.

Natanguliza Shukrani.
Je mzee si ndio atakufaa zaidi maana akimaliza kazi anapotea zake🚶🚶
 
Njoo kwangu ila nipo nje ya dar.
 
Utasubiri sana kumpata yule mwanaume lijali unayehisi ataweza kuwa na akiili km zako.
 
[emoji38][emoji1]kaka umeandika Kwa hisia sana
Mdogo wangu, mwanaume atakayekubali kuzaa na lesbian manake yupo tayari mtoto wake kuwa lesbian au punga. Manake mama ndio mume kwa mwanamke mwingine...inakuja haiji hahah!
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,

Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,

Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,

Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,

SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu

2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)

3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana

4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha

5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu

6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano

7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya

SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu

2. Lesbian

3. Ready kua Mama

4. Umri miaka 28

5. Nipo Dar es salaam

NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.

Mawasiliano yawe PM.

Natanguliza Shukrani.
Njoo swaxy uchukue
 
This is my confession I already done this with the lady next door, ili happen strangely sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom