The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mkuu unafikiri huu ushauri ni mzuri kwa kiumbe kitakacho kuja kuzaliwa? vp mtoto akija kuuliza kuhusu Baba yake yuko wapi?sasa mimi nitafaidika na nini au ule utamu tu wakati tunagegedana?
nikupe mbinu ukitongozwa kubali kwa shart na kwenda kupima maradhi kwanza. Halafu ww binafsi weka mazingira yako ya kupata ujauzito. halafu ukiupata kata mawasiliano. na hata akijua simple tu unamwambia kuwa huu si ujauzito/mtoto wako.