Nedlloyd
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 10,361
- 27,215
Mhhh Hy ngumu mzee mtego huo😂 Lloyd Munroe we hutaki kwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh Hy ngumu mzee mtego huo😂 Lloyd Munroe we hutaki kwani?
Usiogope tego baharia 🤣 Lloyd MunroeMhhh Hy ngumu mzee mtego huo
Kutengeneza uzao ni tofauti na kununua bidhaa sokoniMmh mkuu umezidisha madoido sasa
Mjomba ukimla huyo jiandae n ww kua shoga. She is a vector.Mhhh Hy ngumu mzee mtego huo
Huko mbele ya safari, hadi Ustawi wa jamii watafikiwa.Ha ha ha ....
Mwenye link ya ule Uzi wa
"Naomba tuzae, ntalea mwenyewe" aulete
Huu Ni mtego,jichanganye Sasa [emoji28]
Ucjaribu homie Hy tayari ni wakala.😋Usiogope tego baharia 🤣 Lloyd Munroe
See me never do shitsMjomba ukimla huyo jiandae n ww kua shoga. She is a vector.
Do ze nidfull bathiiMwenyewe natamani nikuone mrembo...ebu njoo pm basi
We mwanamke nakumissUzuri wa haya mlesbian yakikolezwa na vidume konkii yanabadili gia hewani.Nna shoga alikua na itikadi kama hizi saivi ana watoto watatu na msimamo umebadilika.Ni suala la muda tu huyu bibie atabadilika.Btw usituchoshe kama unaeza lea mtoto mwenyewe kanunue mbegu hata hapo South Africa kuna hii huduma.Acha kusumbua vidume vyetu si hauna hisia nao?hiyo mimba itaingiaje na ushakomazwa kisi..m na dildo.Rubbish
Faida anayopata huyo mtu kuzaa na wewe ni nini?Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,
Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,
Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,
Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,
SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu
2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)
3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana
4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha
5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu
6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano
7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya
SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu
2. Lesbian
3. Ready kua Mama
4. Umri miaka 28
5. Nipo Dar es salaam
NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.
Mawasiliano yawe PM.
Natanguliza Shukrani.
Boss kubwa unazingua.Narudia Tena
"Ulesbian sio tatizo"
Alete matatizo mengine tutamsaidia,sio hilo
Kila laheri baba asiejulikana 😃Umenipata, nipo hapa maharage ya mbeya. 😂
MmmhRejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,
Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,
Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,
Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,
SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu
2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)
3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana
4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha
5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu
6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano
7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya
SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu
2. Lesbian
3. Ready kua Mama
4. Umri miaka 28
5. Nipo Dar es salaam
NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.
Mawasiliano yawe PM.
Natanguliza Shukrani.
Niite kiinglish itasaundi gud.Kila laheri baba asiejulikana 😃