Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Sawa kabisa nimekusoma vizuri andiko lako.yeye aendelee tu na mitikasi zake
Kachanganyikiwa huyo!! Aendelee na mishe zake za ulesbobo,inaonekana hataki msaada ila anataka atimize anayoyajua yeye! Aende zake tu
 
Sijui ulilogezewa mbususu!
Wanaume wote wamelogezwa na mbususu. Sii unaona kile kwenye masikhara na sexual fantasy watu wanavyotiririka. Sijaona yako tuu huko.
Mmenwa mtu ajambo lakini
 
Wanaume wote wamelogezwa na mbususu. Sii unaona kile kwenye masikhara na sexual fantasy watu wanavyotiririka. Sijaona yako tuu huko.
Mmenwa mtu ajambo lakini
Aaaah watu Wana fantasy za ajabu acha kabisaaa😂😂😂....yangu nikiiweka najua wewe utasema Unataka tu
 
Labda umpate mwanaume Chizi au kichaa asiye jielewa ndio atakubaliana na wewe... ukifanikiwa kumpata mwenye akili timamu Na kuruhusu niite mbwa niko nimekaa hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaaah watu Wana fantasy za ajabu acha kabisaaa😂😂😂....yangu nikiiweka najua wewe utasema Unataka tu
Sasa kwani ubaya upo wai mie kutaka...sii ndio nakuti.izia kile unachotaka😜
Funguka bwana
 
Kuna wanawake wanafikiri kuwa mwanaume muda wote ana njaa ya sex na kila akiambiwa kulifanya atafanya tu kwa ajili mbususu sake🤣🤣🤣
Kabisa...kuna wakati ata hamu ya mbususu huna kabisa. Unataka tuu demu uongee nae basi company tuu
 
Naona vijana mnashindan IQ kubwa kwenye comment ili mpewe mchongo wa mbusus ya bure
NB:ata mimi nipo kwenye competition
 
Kabisa...kuna wakati ata hamu ya mbususu huna kabisa. Unataka tuu demu uongee nae basi company tuu
Sahihi , mtu ukiwa uko busy na unawaza maendeleo utatolea wapi nyege?
Kuna muda huo lakini sio muda wote
 
Ahsante sana Kaka angu Mshana kwa ushauri mzuri wenye maneno ya busara na tone ya upole,
Najiombea sana na mimi jambo langu lifanikiwe lakini kama hutojali hata kwa PM unitajie hizo taasisi zinazouza mbegu niwatafute kama nitamudu gharama zao
Kwenye taasisi uko tayari kununua, sisi unatupiga mzinga
 
Kuna wanawake wanafikiri kuwa mwanaume muda wote ana njaa ya sex na kila akiambiwa kulifanya atafanya tu kwa ajili mbususu sake🤣🤣🤣
Mambo sio rahisi hivyo🤣🤣Kuna wakati miamba inaiangalia mbususu na haistuki
 
Wacha weeeee😋😋😋😋....hebu msaidie kujua Raha duniani
 
Kabisa mtu na akili zake akatupe mbegu zake tena bure?? Labda umvizie mtu kalala umuibie mbegu zake
 
Kijana kumbadilisha mtu ni mchakato.
Kumla kila mara pia sio sababu ya kumbadili au kumridhisha.

Tukubaliane tu kila mwanamke ana namna yake kum handle.

Ukija na uzoefu wako utaaibika vibaya.

Njia sahihi; chukua muda wa kutosha kumsoma au msomane hapo unaweza kupata pa kuanzia na kumliza.

Vinginevyo viumbe hawa waache walivyo tu.
Evelyn Salt ongezea basi mwamba?
Joannah sema kidogo
 
Masaa tu yaende hapa 😀😀😀
 
Sawa sawa,kwanza mabadiliko yanatakiwa kuanza na yeye mwenyewe,Sasa mwenyewe kashupaza shingo anaamini Yuko sawa,huyu hawezi badilikaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…