Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo zoezi la kutafuta mtoto linaanza soon, sasa mbona mnachat tena as if mpo kwenye mahusiano?
 
A
SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu

2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)

3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana

4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha

5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu

6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano

7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya

SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu

2. Lesbian

3. Ready kuwa Mama

4. Umri miaka 28

5. Nipo Dar es salaam

MREJESHO:
Shukrani wadau mtu nimempata ila katoka nje ya JF kuna mtu nafanya nae kazi, aliniconnect na ndugu yake, tulipatana tangu december ila tukasubiri vurugu za mwisho wa mwaka zipite ndio tuanze zoezi letu la vipimo na sio muda zoezi lenyewe litaanza [emoji2960]

Huyu Kaka ana Akili timamu, ni daktari wa kina mama katika hospital fulani, hajaoa wala hana mchumba, tumeenda dates mbali mbali kwanza ananukia vizuri, hana mandevu, hanuki mdomo, ni bonge la gentleman, ametulia ila sio mpole kwa hiyo hatukosi story kila tukichat na tukipigiana simu, kuna chemistry ndani yetu which is good kwa tunachotaka kukifanya....

Amenikubali vile nilivyo, hana swaga za "nataka kukubadilisha", ananiheshimu sana, hofu yangu asije aka fall in love tu maana ana speed [emoji1]

MNAO TEXT NA KUCALL ACHENI MARA MOJA, KAZI IMESHAISHA TUSUBIRI MAJIBU TU.
ASIWE BUSY WA KWAKO.MAMAA
TAFUTA WAKO MSHUGULIKIE HUMU.WANANDOA KIBAO WATAVUA PETE WASEME.SINGLE WAKUKOJOLEE KAMA NILIVYOFANYA UGANDA ILA NALEA..
 
Soma mrejesho juu huko!
Haitaliwa kibudu mkuu lazima mtoto alainishwe kweri kweri ndipo zoezi lifanyike🤣🤣🤣🤣
Hawa wataoana we subiri...dada amelegea huoni anamwaga misifa?
 
Yani kwa masharti hayo nikajua kuna donge nono[emoji39]what is in for my sperms, huyo ni sperm donor bibie unatakiwa umlipe.

Yan umeandika kwa kujiamini sana kumbe unataka huduma for free[emoji1787][emoji1787]

Either way anaeweza kugawa sperm zake under that circumstance ni kichaa tu na ww umesema awe na akil timamu.
Kapata kichaa mwenzake anasema amepata jamaa mwenye akili timamu.
 
MPaka umeona ameanza awe nanakili timamu msimdharahsu kapitia wehu kadhaaa

shida asije akawa yee ndie ana nyota na wanaume wehu hata ukimpata ukosawa lazima uhehuke baadae ..
 
Thanks ila bado soma mrejesho juu
Kuna changamoto jiandae nazo,mazoea hujenga tabia,ni rahisi sana mmoja wenu kumzoea mwenzake au kuja kupendana. Pia kwenye malezi ya mtoto usitegemee utamweka mtu mbali na damu yake kwa namna unayowaza wewe,attention itakuwepo tu,kwako,kwa mtoto,au kote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom