Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes dear,Hope ulimpata
Hongera mama kijachoYes dear,
Nje ya JF tho
Thanks ila bado soma mrejesho juuHongera mama kijacho
Hongera cute...humu hawamo hata ivo😕Yes dear,
Nje ya JF tho
Umeona wapi wakichat?Kwa hiyo zoezi la kutafuta mtoto linaanza soon, sasa mbona mnachat tena as if mpo kwenye mahusiano?
Soma mrejesho juu huko!Umeona wapi wakichat?
ASIWE BUSY WA KWAKO.MAMAASIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu
2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)
3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana
4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha
5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu
6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano
7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya
SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu
2. Lesbian
3. Ready kuwa Mama
4. Umri miaka 28
5. Nipo Dar es salaam
MREJESHO:
Shukrani wadau mtu nimempata ila katoka nje ya JF kuna mtu nafanya nae kazi, aliniconnect na ndugu yake, tulipatana tangu december ila tukasubiri vurugu za mwisho wa mwaka zipite ndio tuanze zoezi letu la vipimo na sio muda zoezi lenyewe litaanza [emoji2960]
Huyu Kaka ana Akili timamu, ni daktari wa kina mama katika hospital fulani, hajaoa wala hana mchumba, tumeenda dates mbali mbali kwanza ananukia vizuri, hana mandevu, hanuki mdomo, ni bonge la gentleman, ametulia ila sio mpole kwa hiyo hatukosi story kila tukichat na tukipigiana simu, kuna chemistry ndani yetu which is good kwa tunachotaka kukifanya....
Amenikubali vile nilivyo, hana swaga za "nataka kukubadilisha", ananiheshimu sana, hofu yangu asije aka fall in love tu maana ana speed [emoji1]
MNAO TEXT NA KUCALL ACHENI MARA MOJA, KAZI IMESHAISHA TUSUBIRI MAJIBU TU.
Haitaliwa kibudu mkuu lazima mtoto alainishwe kweri kweri ndipo zoezi lifanyike🤣🤣🤣🤣Soma mrejesho juu huko!
Kapata kichaa mwenzake anasema amepata jamaa mwenye akili timamu.Yani kwa masharti hayo nikajua kuna donge nono[emoji39]what is in for my sperms, huyo ni sperm donor bibie unatakiwa umlipe.
Yan umeandika kwa kujiamini sana kumbe unataka huduma for free[emoji1787][emoji1787]
Either way anaeweza kugawa sperm zake under that circumstance ni kichaa tu na ww umesema awe na akil timamu.
Daah mpendwa ulipotea kitambo sanaAisee
Nipo mkuu, wewe ndiye sijakuona humuDaah mpendwa ulipotea kitambo sana
Mbona nimejaa tena utafikiri mkurugenzi wa jf?Nipo mkuu, wewe ndiye sijakuona humu
Ok basi acha tuendelee kuenjoy maarifa ya humuMbona nimejaa tena utafikiri mkurugenzi wa jf?
Kuna changamoto jiandae nazo,mazoea hujenga tabia,ni rahisi sana mmoja wenu kumzoea mwenzake au kuja kupendana. Pia kwenye malezi ya mtoto usitegemee utamweka mtu mbali na damu yake kwa namna unayowaza wewe,attention itakuwepo tu,kwako,kwa mtoto,au kote.Thanks ila bado soma mrejesho juu