Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Zamani watoto walihitaji baba siku hizi hawahitaji?
 
Ha ha ha ....

Mwenye link ya ule Uzi wa
"Naomba tuzae, ntalea mwenyewe" aulete
Huu Ni mtego,jichanganye Sasa [emoji28]
Naona bill zinaanza kulipwa in advance,kwa maana yake tayari mahitaji sii kuzaa Tena ni mtu mwenye sifa sahihi.
 
Ahsante sana Kaka angu Mshana kwa ushauri mzuri wenye maneno ya busara na tone ya upole,
Najiombea sana na mimi jambo langu lifanikiwe lakini kama hutojali hata kwa PM unitajie hizo taasisi zinazouza mbegu niwatafute kama nitamudu gharama zao
Gharama zake sio za kitoto,hebu ingia google ueleze mahitaji yako kwa kifupi watakuletea minimized price rate.
 
Mambo haya ni magumu kijana wangu.
Anatafutwa mfadhili wa mbegu aliyetimamu.
Kuna mwamba kajipatia mahali pa kumwaga oil burebure mkuu watu na bahati zao🤣🤣🤣
Nilivoskia mbegu Moja kwa Moja nkaliflekti dada ana shamba jipya anataka miche heee kusoma vizuri ni Oil ...mkulima nikaji aisoleti.
Watu Wana nyota Kali Sana Dr.🤣🤣
 
Nilivoskia mbegu Moja kwa Moja nkaliflekti dada ana shamba jipya anataka miche heee kusoma vizuri ni Oil ...mkulima nikaji aisoleti.
Watu Wana nyota Kali Sana Dr.🤣🤣
Ogopa vya bure gharama mkuu.
We nenda ukagawe ili ujipigie utelezi baadae utaitwa ustawi kutoa matunza haha.
Afrika usiamini hizi ahadi tamu tamu
 
Ogopa vya bure gharama mkuu.
We nenda ukagawe ili ujipigie utelezi baadae utaitwa ustawi kutoa matunza haha.
Afrika usiamini hizi ahadi tamu tamu
Ndio Mana Kuna uchaguzi wa Akili timamu.
Hii timamu nimeielewa Ni timamu ipi Dokta.
Hii code Acha niitunze Iwe reference kwa wengine.
 
Ndio Mana Kuna uchaguzi wa Akili timamu.
Hii timamu nimeielewa Ni timamu ipi Dokta.
Hii code Acha niitunze Iwe reference kwa wengine.
Yaah mwenye akili timamu ambaye atajiongeza alee damu yake🤣
 
Kwa hiyo jamaa ana kidevu laini kama chako? kasura kakike kasikokuwa na ndevu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…