Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Tukubaliane na mabadiliko ya ulimwengu,
Zamani tulijua mtoto anapatikana ikiwa Me na Ke wanakutana kimwili siku hizi sivyo mnaenda maabara unatolewa mazaga yenu mtoto anatotoleshwa kwenye chupa, (IVF)

Zamani tulijua mama mpaka abebe mimba azae, siku hizi sivyo tena, mama anaweza akatoa mazaga yake akamkabidhi mama mwingine ambebee mimba hadi kuzaa na yeye anabaki fresh (surrogate)

Zamani watu walikua wana haha na uzazi wa mpango kwa kua mama hayupo tayari kuzaa au aliowazaa wanatosha au anahitaji kupumzika na sasa mama anaweza kutoa mayai yake yakatunzwa maabara hadi siku atakayohitaji kuzaa atawekewa (Egg Freezing)
Zamani watoto walihitaji baba siku hizi hawahitaji?
 
Ha ha ha ....

Mwenye link ya ule Uzi wa
"Naomba tuzae, ntalea mwenyewe" aulete
Huu Ni mtego,jichanganye Sasa [emoji28]
Naona bill zinaanza kulipwa in advance,kwa maana yake tayari mahitaji sii kuzaa Tena ni mtu mwenye sifa sahihi.
 
Ahsante sana Kaka angu Mshana kwa ushauri mzuri wenye maneno ya busara na tone ya upole,
Najiombea sana na mimi jambo langu lifanikiwe lakini kama hutojali hata kwa PM unitajie hizo taasisi zinazouza mbegu niwatafute kama nitamudu gharama zao
Gharama zake sio za kitoto,hebu ingia google ueleze mahitaji yako kwa kifupi watakuletea minimized price rate.
 
Mambo haya ni magumu kijana wangu.
Anatafutwa mfadhili wa mbegu aliyetimamu.
Kuna mwamba kajipatia mahali pa kumwaga oil burebure mkuu watu na bahati zao🤣🤣🤣
Nilivoskia mbegu Moja kwa Moja nkaliflekti dada ana shamba jipya anataka miche heee kusoma vizuri ni Oil ...mkulima nikaji aisoleti.
Watu Wana nyota Kali Sana Dr.🤣🤣
 
Nilivoskia mbegu Moja kwa Moja nkaliflekti dada ana shamba jipya anataka miche heee kusoma vizuri ni Oil ...mkulima nikaji aisoleti.
Watu Wana nyota Kali Sana Dr.🤣🤣
Ogopa vya bure gharama mkuu.
We nenda ukagawe ili ujipigie utelezi baadae utaitwa ustawi kutoa matunza haha.
Afrika usiamini hizi ahadi tamu tamu
 
Ogopa vya bure gharama mkuu.
We nenda ukagawe ili ujipigie utelezi baadae utaitwa ustawi kutoa matunza haha.
Afrika usiamini hizi ahadi tamu tamu
Ndio Mana Kuna uchaguzi wa Akili timamu.
Hii timamu nimeielewa Ni timamu ipi Dokta.
Hii code Acha niitunze Iwe reference kwa wengine.
 
Ndio Mana Kuna uchaguzi wa Akili timamu.
Hii timamu nimeielewa Ni timamu ipi Dokta.
Hii code Acha niitunze Iwe reference kwa wengine.
Yaah mwenye akili timamu ambaye atajiongeza alee damu yake🤣
 
MREJESHO:
Shukrani wadau mtu nimempata ila katoka nje ya JF kuna mtu nafanya nae kazi, aliniconnect na ndugu yake, tulipatana tangu december ila tukasubiri vurugu za mwisho wa mwaka zipite ndio tuanze zoezi letu la vipimo na sio muda zoezi lenyewe litaanza [emoji2960]

Huyu Kaka ana Akili timamu, ni daktari wa kina mama katika hospital fulani, hajaoa wala hana mchumba, tumeenda dates mbali mbali kwanza ananukia vizuri, hana mandevu, hanuki mdomo, ni bonge la gentleman, ametulia ila sio mpole kwa hiyo hatukosi story kila tukichat na tukipigiana simu, kuna chemistry ndani yetu which is good kwa tunachotaka kukifanya....

Amenikubali vile nilivyo, hana swaga za "nataka kukubadilisha", ananiheshimu sana, hofu yangu asije aka fall in love tu maana ana speed [emoji1]

MNAO TEXT NA KUCALL ACHENI MARA MOJA, KAZI IMESHAISHA TUSUBIRI MAJIBU TU.
Kwa hiyo jamaa ana kidevu laini kama chako? kasura kakike kasikokuwa na ndevu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom