Nahitaji mwanaume wa kuzaa nae

Status
Not open for further replies.
Jina lako ni tofauti na Akili uliyoiwakilisha hapa

Abigaili alikua ni Mwanamke mwelevu (mwenye akili njema), mcha MUNGU (mwenye hofu ya MUNGU), na mkamilifu (mtakatifu)

Kiasili MWANAMKE hajaumbwa kutafuta MTOTO au mume, MWANAMKE ameubwa kutafutwa na mme au kupewa MTOTO na mme wake

Kama ni jokes ni SAWA but if your seriously basi una matatizo makubwa Sana 😁
 
Kama ni kweli, Sister Abigail ,sioni kama huu ndo mda sahihi wa kutafuta mtoto. Inaoneka wewe una tatizo,ambalo ndo kwanza linatakiwa kuwa solved. Kwa mawazo yako hayo,malezi ya mtoto yanahitaji wazazi wote. Unadhani utafika? Mwanaume amjali mtoto bila kujali mama yake? Malezi ya mtoto huanza tu pindi mimba inapoingia. Kwa wanaojua zaidi,mtoto tumboni huishi kulingana na haki ya mama yake. Ukibeba mimba ukiwa hivo,bora uache. Utaharibu mtoto.

Pili. Kama wewe ni mwanamke usie na vigezo kama vya wenzako,unafikaje hatua hiyo ya kukata tamaa?! Wanaume wangapi wanaohitaji mwanamke asiye na chochote, wa kuanza nae maisha? Nafikiri ujitafakari upya kwanza ndo uchukue maamzi. Zaa na mtu atakae kuwa karibu na wewe,acha utoto. Mjamzito,anahudumiwa kuanzia wiki za mwanzo mpaka umri furani. Je,ikitokea Mungu kamchukua, utakuwa mgeni wa nani?
 
Pole kwa changamoto unazopitia.
Mungu akupe hitaji la moyo wako.

Hata mme wa mtu unataka?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jikute ushazoea....
Sasa now jua katika wale wa sindano mmoja nitakua mimi na barakoa yangu safi kabisa ,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,,, daah naomba niende mapumziko ntarud second half πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈ
 
Nicheki inbox ,umepata mme tayari
 
Kwa hiyo mmeamua mbebishane humu kwenye uzi wa mama watoto wangu mtarajiwa sio?
kam ivo ndo hua unabibishwa aseeee unasafari ndefu πŸ™†πŸΎπŸ™†πŸΎπŸ™†πŸΎπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sawa sawa...
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…