Nahitaji mwanaume wa kuzaa nae

Status
Not open for further replies.
Tafuta pesa utalea mwenyewe madamu,,,ila upate hitaji la moyo wako
Ashasema mlemavu tena upande wa neuro-system,mapenzi anayaweza wapi!?
Anaambiwa ataje tatizo hilo la nerve ni lipi hataki,huwenda akapata msaada kamili na akaacha kuwaza anachowaza.
Maana anachowaza ni kibaya kuliko ULEMAVU aliokua nao.
 
Unaweza ukapata mume na usipate mtoto muombe Mungu akupatie mume hata hivyo hongera kwakuwa muwazi kwa hitaji lako
 
Kama bado unajitafuta bora utulie kwanza uwe financially stable Ili hata mtoto akija uweze kumlea maana kwa style hiyo ujiandae kulea mtoto mwenyewe.
Dada financial stebo πŸ˜‚πŸ˜‚
Akishakuwa stable haki anaweza jilengesha kwa lihandsome moja zuriiiiii. Akabaki na ukumbusho wa mtoto mkali πŸ₯°
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…