Nahitaji mwanaume wa kuzaa nae

Status
Not open for further replies.
Nina dhana moja
Na-assume ww ni msichana mrembo, unaweza vipi kosa mtu/watu wanaokupenda huko iwe mtaani au unapofanya kazi? Au hata marafiki tu wa kiume ulionao?

Maana kama ni mrembo na unaweka vigezo vyako naamini wapo vijana wengi watatimiza hivyo vigezo
Kwa nn unataka kubet huku mtandaoni? Hapa ndio huwa sielewi

Mm nahisi wengi kama sio wote mnaofikia hii stage huwa SIO warembo
 
Au "k" zimetembea kilometre kibao
 
likiwa refu akili hamna, huyo mtoto atakula uref wa baba ake? Tafta mwanaume mwenye akili anaejituma

Habari za ohhh mara mfupi mara nataka mwanaume mrefu handsome

Swali ni je? Wewe na mwanao mtakula huo urefu wake au uhandsome wake?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Daaah nmekukosea nn bomu lote hili
 
🀣🀣🀣 Ndio mkimbilie pm saivi kabla mtoa mada hajapata maokoto.
PM kule kuna maswali mazito na yakushusha utu wa mtu..
Sasa unafika unaambiwa unafanya kazi gani..?
Mara umri wako...?
Yaani mambo ya kukera tuu

Mi nishaenda PM huko ila ndo hvo yupo kimya πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί
 
Yasijekuwa km ya Penina!
 
Au "k" zimetembea kilometre kibao
Wananichanganya sana, maana naona kwa macho yangu jinsi watu walivyo speed kutongoza, watu hadi kwenye ule mbanano wa mwendokasi huwa wanatongoza.
Hadi kwenye jumuiya inaendelea asubuhi watu wanatongoza

Binti yoyote anayejielewa simu yake imejaa mitongozo kutoka kila pande

Sasa hawa ambao hawatongozwi huko wapoje? wananipa mashaka sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…