Nahitaji mwanaume wa kuzaa nae

Status
Not open for further replies.
Pls njoo PM
 
Mimi nipo tayari ila nina mke na mtoto mmoja, mke wangu naona hataki mtoto mwengine kaniekea mivijiti na mimi nataka mtoto mwengine. Njoo inbox tuyajenge, mimi ni mfupi lakini
Was mfupi necessary lakin πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pole sana na chanhamoto hii. Mimi nakuombea tu upone
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nilichukua diploma Veta pale..
Ila degree nikaenda kusoma SUA
Kwa sasa nipo field kwa Ms R
aah kwa field hii utapewa points lukukiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
 
Mimi nipo tayari ila nina mke na mtoto mmoja, mke wangu naona hataki mtoto mwengine kaniekea mivijiti na mimi nataka mtoto mwengine. Njoo inbox tuyajenge, mimi ni mfupi lakini
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
I have been so lonely,naamini mtoto atakua faraja yangu. Na kunisaidia kuishi Maisha yenye kusudi,na pia atanipa Ari na moral ya kujitafuta zaidi

Hapa unaonesha wewe ndiyo una uhitaji mkubwa wa mtoto... Unataka huyo mtoto ummiliki wewe.

Sihitaji mapenzi yako.mapenzi yako yaweke Kwa mtoto
Pesa zako wekeza katika kumtunza mtoto

Then hapa cha kushangaza unasema mwanaume awekeze pesa kwa mtoto?

Na unasema hutaki mapenzi na mwanaume?

Yani tuzae kisha mimi na wewe tusiwe close, ila tuwe close tu na mtoto? Does this make sense to you?

Inaonekana unatafuta baby dady mwenye pesa, ili uwe unaishi kwa child support..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…