Nahitaji mwenza wa kike aliyeko serious

Nahitaji mwenza wa kike aliyeko serious

Salaam! Mimi ni kijana wa 44 years Mjasiriamali
Niko Arusha

Nimekaa kwenye ndoa miaka 16 ila ilikuwa ni ndoa yenye vioja vingi sana
Na hatimaye tukaachana rasmi

Nina watoto 3
Maisha yangu ni ya uchumi wa kati kama Tanzania vile

Nahitaji Dada mzuri wa umri wa si chini ya 30 - 40
Asiwe Mchaga kabisa hili ninasisitiza ASIWE MCHAGA.

Awe mweusi au maji ya kunde
Mrefu au wastani
Mkristo / Akiwa Muslim awe tayari kubadilika.

Mpambanaji(ambae nikimpa mtaji anaweza kufanya biashara)
Asiwe na mambo mengi

NB; Haina maana unakuja kukaa na watoto wangu hapana
Watoto wako na Mama yao.
Aliye serious tuwasiliane PM tafadhali
Ongeza pia asiwe MHAYA
 
Wachaga oyee[emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu kwanini hutaki mchaga?
Nadhani tatizo lilikuwa la mwanamke wako na si la wachagga.
Sasa ukiona mwanaume wa miaka 44 anakuja kutafuta mke mitandaoni ndio ujue tatizo halikuwa la mwanamke...

Uchaga kautumia kama silaha tu, trust me
 
Ungekua Dar ningekuagizia pale kona bar sijui kama bado papo, pale pangekufaa sana unachagua tu unaweka ndani , maana sio kila muuza K anashida wengine wanataka ndoa tu
 
Naona wengi mnashangaa kijana wa 44,kwa maana nyingine ujana sio umri,ujana ni hali ya mtu kuwa na nguvu zake vema kabisa.

Kuna watu wako 44,45 ila wako fit na healthy kuliko wala kiepe yai wa 25 wanaovaa vinjunga.

Biblia pia inatambua mtu alie na nguvu zake kuwa ni kijana.

Nakutakia heri bamkubwa,utapata mwenza,najua wenye uhitaji washakuja PM hapa wapo wachangamsha genge tu.
 
Back
Top Bottom