Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Kijana mbichi?Kwamba 29 sio kijana?[emoji848]
understand the topic😜😜
huyo kazaliwa 1993, ajiite kijana mbichi
je wa 2000? ajiiteje😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana mbichi?Kwamba 29 sio kijana?[emoji848]
Wote ni vijana mkuuKijana mbichi?
understand the topic[emoji12][emoji12]
huyo kazaliwa 1993, ajiite kijana mbichi
je wa 2000? ajiiteje[emoji28][emoji28]
Hahahaa ajiite pisi kali aone wakat ana kilo 90Wote ni vijana mkuu
29 mbona mdogo huyo!?
Pisi kali inaanzia kg ngapi hadi ngapi?Hahahaa ajiite pisi kali aone wakat ana kilo 90
Kama Jakaya alikuwa raisi akiwa na miaka 55 mkamuita raisi kijana huyu mganga njaa wa miaka 44 mnamuitaje mzee?Duh si kwa madongo haya, ila naye 44 kijana kweli ama mbaba huyu😂
Kijana wa miaka 44 duh, basi huu umri wangu na mimi ni kabinti kijana kabichii[emoji23] kila rakheri naona wachaga wameibuka kidedea tena [emoji119]
Nna 36yrs nowWewe una umri gani?