Nahitaji mwenza wa kike aliyeko serious

Ongeza pia asiwe MHAYA
 
Wachaga oyee[emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu kwanini hutaki mchaga?
Nadhani tatizo lilikuwa la mwanamke wako na si la wachagga.
Sasa ukiona mwanaume wa miaka 44 anakuja kutafuta mke mitandaoni ndio ujue tatizo halikuwa la mwanamke...

Uchaga kautumia kama silaha tu, trust me
 
Ungekua Dar ningekuagizia pale kona bar sijui kama bado papo, pale pangekufaa sana unachagua tu unaweka ndani , maana sio kila muuza K anashida wengine wanataka ndoa tu
 
Naona wengi mnashangaa kijana wa 44,kwa maana nyingine ujana sio umri,ujana ni hali ya mtu kuwa na nguvu zake vema kabisa.

Kuna watu wako 44,45 ila wako fit na healthy kuliko wala kiepe yai wa 25 wanaovaa vinjunga.

Biblia pia inatambua mtu alie na nguvu zake kuwa ni kijana.

Nakutakia heri bamkubwa,utapata mwenza,najua wenye uhitaji washakuja PM hapa wapo wachangamsha genge tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…