Nahitaji Mwenza

Nahitaji Mwenza

Kikawaida mke na mme hamtakiwi kulingana umri.kwa umri wako unatakiwa upate mwanaume wa miaka kuanzia 40 na kuendelea.Vipi tako unalo?
 
Habari ya muda huu Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32, ninahitaji mwanaume wa kuwa nae katika mahusiano tukielewana tufunge pingu za maisha.
Sifa zangu ni
  • Mweusi
  • Mkristo
  • Ninafanya bihashara
  • Nina watoto 2
  • Naishi dar es salaam.

SIFA ZA MWANAUME.
  • Rangi yoyote
  • Awe mrefu, asiwe na kitambi
  • Kabila lolote
  • Awe na shughuli inayomuingizia kipato
  • Awe na miaka 32 na kuendelea.
  • Awe mkristo
  • Awe na mtoto au asiwe na mtoto sawa.
  • Awe mkoa wowote kasoro Moshi.
ASANTENI mnakaribishwa pm..
Una tako?
 
Habari ya muda huu Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32, ninahitaji mwanaume wa kuwa nae katika mahusiano tukielewana tufunge pingu za maisha.
Sifa zangu ni
  • Mweusi
  • Mkristo
  • Ninafanya bihashara
  • Nina watoto 2
  • Naishi dar es salaam.

SIFA ZA MWANAUME.
  • Rangi yoyote
  • Awe mrefu, asiwe na kitambi
  • Kabila lolote
  • Awe na shughuli inayomuingizia kipato
  • Awe na miaka 32 na kuendelea.
  • Awe mkristo
  • Awe na mtoto au asiwe na mtoto sawa.
  • Awe mkoa wowote kasoro Moshi.
ASANTENI mnakaribishwa n

Ntafikisha miaka 32 baada ya miaka 5. Vipi unaweza kunisubiria mpaka nifikishe hiyo miaka?
 
Sifa ya mwanaume ni Heshima na  Uwajibikaji
Urefu, ufupi, wembamba hivo ni vitu extra havina hata thamani
Acha aendelee kutafuta, hizi vitu mara nyingi hufanya mtu akose mwenza.

Yeye ana urefu gani? Maana anaweza taka mtu mrefu kumbe yeye ni kastuli, mwisho wa siku anaumia zaidi maana matolu wa kiume nao hupenda mitolu ya kike.
 
Back
Top Bottom