Page 94
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 5,204
- 15,207
Naona unajiuliza swali na kujijibu mwenyewe.Nmeliangalia hapa sio pana kama analohitaji mleta uzi .
Hayo majibu ungetuachia sisi baada ya kutazama picha yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unajiuliza swali na kujijibu mwenyewe.Nmeliangalia hapa sio pana kama analohitaji mleta uzi .
Apa umeyumbaMuhimu awe na hips
Acha niyumbe hivyo hivyo.Apa umeyumba
Daaahh... Hapo itakuwa shida sasa.Mkuu shida hips na uelevu havikai ndani ya mwili mmoja!
Tuwasiliane please.Hips ninazo ila sijui kama ni pana [emoji17]
[emoji1787][emoji1787]sawaNaona unajiuliza swali na kujijibu mwenyewe.
Hayo majibu ungetuachia sisi baada ya kutazama picha yako.
Sifa zote nnazo najiona mwenye bahati, niko studio natwanga foto nimtumieThina mwaya😀. We unadho?
Pambana PambanaSifa zote nnazo najiona mwenye bahati, niko studio natwanga foto nimtumie
Kayumba sanaMuhimu ni HIPS[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kila binadamu na udhaifu wake asee!!
Zitume ili tuzichunguze kama ni pana au lahHips ninazo ila sijui kama ni pana [emoji17]
Hapo kwenye picha utapigwa na kitu kizito mkuu,kikubwa onana naye then akifika mpeleke hata washroom akanawe uso😅😅😅Nina miaka 40+, elimu Shahada ya miaka 15 iliyopita. Nina shughuli zangu binafsi, naishi DSM, na wakati mwingine husafiri kwenye shughuli zangu za kikazi.
Nahitaji mwenzi ambaye kadri tutakavyofahamiana ndivyo tutajua kama tunaweza kuwa wachumba au laah. Kwa maana tunahitaji kuamua kwa pamoja.
Awe na angalau elimu ya kidato cha 6 na kuendelea. Au asikose cheti fulani. Awe na ufahamu wa lugha ya Kingereza. Awe msafi wa miguu, mikono, kucha na mwili wote kwa ujumla, rangi yoyote ya asili.
Muhimu awe na hips, napenda mwanamke mwenye hips pana. Hili nasisitiza sababu sipendi nimdanganye au nimpotezee mtu muda.
Umri wake uanzia miake 25-35, akiwa na mtoto ni vyema akaniambia mapema na tukakaa kujadiliana tufanye nini. Sichukii watoto. Awe mwaminifu na anayejiamini. Mwerevu kichwani, mwenye mawazo ya maendeleo na aliyetayari kufanya biashara kama hana kazi, awe na wazo la biashara husika.
Awe tayari kupima afya na pia kabla ya yote tuweze kubadilishana picha kabla ya kufikia hatua ya kuonana. Nasema hivi ili tuepushe kusumbuana.
Mimi ni mtu ninayekuwa bize na sipendi kuhangaika tena na mahusiano. Nahitaji mtu ambaye tutaelewana atanielewa. Kwahiyo nakuwa wazi mapema ili tusipotezeane muda hata kidogo. Nasisitiza awe na umbo zuri lenye nyama, shepu ni muhimu kwangu maana navutiwa na hilo. Sipendi niwe mnafiki.