Nahitaji mwenzi ambaye ni muhimu kuwa na sifa hizi

Nahitaji mwenzi ambaye ni muhimu kuwa na sifa hizi

Kuna haja ya kuanzisha goli la kutafutia watu wenzi...
 
Nina miaka 40+, elimu Shahada ya miaka 15 iliyopita. Nina shughuli zangu binafsi, naishi DSM, na wakati mwingine husafiri kwenye shughuli zangu za kikazi.

Nahitaji mwenzi ambaye kadri tutakavyofahamiana ndivyo tutajua kama tunaweza kuwa wachumba au laah. Kwa maana tunahitaji kuamua kwa pamoja.

Awe na angalau elimu ya kidato cha 6 na kuendelea. Au asikose cheti fulani. Awe na ufahamu wa lugha ya Kingereza. Awe msafi wa miguu, mikono, kucha na mwili wote kwa ujumla, rangi yoyote ya asili.

Muhimu awe na hips, napenda mwanamke mwenye hips pana. Hili nasisitiza sababu sipendi nimdanganye au nimpotezee mtu muda.

Umri wake uanzia miake 25-35, akiwa na mtoto ni vyema akaniambia mapema na tukakaa kujadiliana tufanye nini. Sichukii watoto. Awe mwaminifu na anayejiamini. Mwerevu kichwani, mwenye mawazo ya maendeleo na aliyetayari kufanya biashara kama hana kazi, awe na wazo la biashara husika.

Awe tayari kupima afya na pia kabla ya yote tuweze kubadilishana picha kabla ya kufikia hatua ya kuonana. Nasema hivi ili tuepushe kusumbuana.

Mimi ni mtu ninayekuwa bize na sipendi kuhangaika tena na mahusiano. Nahitaji mtu ambaye tutaelewana atanielewa. Kwahiyo nakuwa wazi mapema ili tusipotezeane muda hata kidogo. Nasisitiza awe na umbo zuri lenye nyama, shepu ni muhimu kwangu maana navutiwa na hilo. Sipendi niwe mnafiki.
pia kabla ya yote tuweze kubadilishana picha kabla


Awe na umbo Xur

Mkuu kama uko bize na biashara zako nadhani hapo tumeelewana
 
Mkiona anatakiwa mwenye dimpoz
Ndo mniite 🤣
Ila hips, sijui matacore.. hivyo nilikosaga 😹
Wewe unafaa sema ni vile wasomi wetu wana short list nyingi utadhani wamepata tenda ya kutengeneza vichwa vya TRC...wadada kibao huko mtaani mpaka wengine huko sijui bank lakini wanatoa vigezo kama vile wanataka kutengeneza ndege toleo jipya ndio maana unaona umri unaenda na vigezo vyao wanavyotaka havipatikani...
 
Nina miaka 40 plus, Elimu Degree ya miaka 15 iliyopita. Nina shughuli zangu binafsi naishi DSM. na wakati mwingine husafiri kwenye shughuli zangu za kikazi.

Nahitaji Mwenzi ambaye kadri tutakavyofahamiana ndivyo tutajua kama tunaweza kuwa wachumba au laah. Kwa maana tunahitaji kuamua kwa pamoja.

Awe na angalau elimu ya kidato cha 6 na kuendelea. Au asikose Certificate flani. Awe na ufahamu wa Lugha ya kiingereza. Awe msafi wa miguu,mikono,kucha na mwili wote kwa ujumla. Rangi yoyote ya asili.

MUHIMU : AWE NA HIPS. Napenda mwanamke mwenye hips pana. Hili nasisitiza sababu sipendi nimdanganye au nimpotezee mtu muda.

Umri wake uanzia miake 25-35 akiwa na mtoto ni vyema akaniambia mapema na tukakaa kujadiliana tufanye nini. Sichukii watoto. Awe mwaminifu na anayejiamini. Smart upstairs mwenye mawazo ya maendeleo na aliye tayari kufanya biashara kama hana kazi. Awe na idea ya biashara husika.

Awe tayari kupima afya na pia kabla ya yote tuweze kubadilishana picha kabla ya kufikia hatua ya kuonana. Nasema hivi ili tuepushe kusumbuana.

Mimi ni mtu ninayekuwa busy na sipendi kuhangaika tena na mahusiano. Nahitaji mtu ambaye tutaelewana atanielewa. So nakuwa clear mapema ili tusipotezeane muda hata kidogo. Nasisitiza awe na umbo zuri lenye nyama, shape ni muhimu kwangu maana navutiwa na hilo. Sipendi niwe mnafiki naweka kila kitu wazi mapema.
Kina Betina imekula kwetu
 
Sifa zote ninazo isipokuwa hips… jamani muelewe makabila mengine hips kwetu ni mtihani
 
Back
Top Bottom