Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Yaani pamoja na mleta uzi kutaja vigezo kadhaa kwa mwenza anayemtarajia, lakini ajabu wengi humu tumeshupalia /tumekipatia uzito mkubwa kipengele cha "hips". Inaonekana kuna siri kubwa kwenye mambo ya mahips.