Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Kigezo kikuu ni hips kweli kama mwanamke hana hips mi sita muenjoy sana. 😁Toa kigezo cha hipsi na mwerevu nije mkuu☺
Hata bila hips utaenjoy mkuu, kwani utananiliu hips au mbususu?😂Kigezo kikuu ni hips kweli kama mwanamke hana hips mi sita muenjoy sana. 😁
Yeye mwenyewe tapeli, anakujaje tafuta qualities zote hizo gizani kwa watu asiowAJUAbora umempa ushauri mzuri mapema kabla matapeli hawajaona hii post 😁
🤣🤣🤣🤣Yeye mwenyewe tapeli, anakujaje tafuta qualities zote hizo gizani kwa watu asiowAJUA
😁😁😁Hata bila hips utaenjoy mkuu, kwani utananiliu hips au mbususu?😂
Naleta bandiko soonfinancial services akiihitaji mme mje mnishtue
[emoji23]akijibu nitagHata bila hips utaenjoy mkuu, kwani utananiliu hips au mbususu?[emoji23]
Zina raha yake....kile kitendo kinajengwa na hisia. So mimi napenda ninapo nanii mtu awe na shape ya kike kwelikweli si kama mwanaume. So hips ni muhimuHata bila hips utaenjoy mkuu, kwani utananiliu hips au mbususu?😂
We bwege sana. Wewe umezaliwa hata baba yako na mama yako ulikuwa huwajui umekuja wajua baadaye.Yeye mwenyewe tapeli, anakujaje tafuta qualities zote hizo gizani kwa watu asiowAJUA
Nawe huzikosiTuma picha tukuone na wewe unafanania kuongozana na mtu mwenye mahips yaliotiliwa msisitizo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuma picha tukuone na wewe unafanania kuongozana na mtu mwenye mahips yaliotiliwa msisitizo?
Hiyo picha yako inaonyesha pia una hizo hips jamaa alizotia msisitizo...Tuma picha tukuone na wewe unafanania kuongozana na mtu mwenye mahips yaliotiliwa msisitizo?
Daah mkuu nimecheka sana kwa kweli JF ina watu aisee yaani iwe special order kama bidhaa zingine tuu..Yaani mwanamke huyo huyo mmoja awe na sifa zote hizi :
-hips
-akili
-msafi
-mwaminifu
Mzee baba, hapo labda uongee na BWANA MUNGU akuumbie wa kwako kwa special order.