Nahitaji ndoa ya uke wenza

Hahahahaahahaha

Hapana hata sitosema hivyo, hili ni Zito kwa kila mwanamke amini nikwambialo, ila ni level ya juu sana ya uchamungu kwa wale wanawake wanaolikubi kwa kutaka radhi za mola wao. I hope hiyo statement yangu ya mwisho umeielewa
Yes! Nimeielewa sana Kaka japo nadhani hao uwasemao wengi wao walikuwepo zile enzi za Mtume ila kwa sasa ni wa kuhesabu na wengi wanakuwa waigizaji na ndio sababu ni wake wachache wa mume mmoja wenye kuelewana na kuwa kitu kimoja yaani uke wenza umegeuka kuwa mwanzo wa wanawake kuwa maadui.
 
True

Umesema kweli kabisa.
 

Ukhti ukisafiri wewe vp hamna wasiwasi huko uendako?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kafala
 
aiseee huu uzi ume nifanya nigundue kitu
kuna mapovu ya kleeesoft nime ona apo juu na nime jidhiirisha 100% ID mbili zina milikiwa na mtu1 ka fanya attack na ID ya kwanza kisha kapiga counter attack na ID ya pili aisee hii ndo JF bhanaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu saidia babe wangu asiuone huu uzi aisee, mambo ya uke wenza tena duh, dada hizo safari ndyo zinakufanya usiwe na wivu hata kidogo,vipi na wewe ukiwa huko safarini sasa utakua salama pia?,ila kila rakheri.
Nimeshaona mama, wacha nizame Piemu nikamsabahi..Kama unavyojua mwislamu ndugu yake muislamu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Basi Mkuu nilidhania nimeliona hilo peke yangu. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…