Nahitaji ndoa ya uke wenza

Wapo sheikh!

Believe me wapo
Sheikh unatafuta balaaa! Hawa kwa wengine?!

Miongoni mwa rafiki yangu alinisimulia miongoni mwa misikiti ya mji wa Madina muitikio wa waumini kwa swala ya asubuhi ulikuwa mdogo. Imam wa huo msikiti akatangaza kuwa mke wako asipokuamsha kuja kuswali swala ya subhi ongeza mke mwengine.

Kesho yake watu nyomi msikitini swala ya asubuhi.
 
Ukioa wake wanne ndio Guarantee wa kutofanya zinaa nje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika waliooa wake wawili au wanne hawachepuki kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyezi Mungu akupe hitaji la moyo.. INSHALLAH.
 
Nowadays wadada wana set standards ambazo anataka akukute nazo akizikosa tatizo linaanzia hapo. Ndoto ya kuoa tena inafifia kila uchao maana uchumi ueyumba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…