Nahitaji nijiengue kutoka kwenye elimu niwe mkulima wa mazao ya mpunga na mahindi

Nahitaji nijiengue kutoka kwenye elimu niwe mkulima wa mazao ya mpunga na mahindi

NAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO MCHANGO WA MAWAZOYENU!

Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 22! Niko chuo mwaka wa pili, nasomea ualimu wa math & physics.
Baada ya kukusanya pesa kidogo kutoka kwenye boom takribani 1M mpaka sasa, hivyo nahitaji nijiengue kutoka kwenye elimu niwe mkulima wa mazao ya mpunga na mahindi.
WENYE UELEWA MNISAIDIE TAFADHARI ILA MSINITUKANE.
Maliza skuli kabisa ili uingie mtaani rasmi , don't rush everything begin sweet and turn sour later
 
Lazima nikumind qhmawewe kuna wenzio wamenyimwa mkopo wamekosa kusoma wewe umepewa mkopo unataka ufanye usenge pimbi mmoja
Kwani mm,, ndy nimekunyima mkopo.?
Heslb Tanzania ofisi zao hujui zilipo.? Malalamiko wapelekee hao!
 
Kwahy ukapita,, na boom 💥
Mim sikusomeshwa na serikali

Wazee,pamoja na wanachuo wenzangu hawakunielewa lkn kwasasa wanachuo wenzangu wa kipindi kile wanakuja kwangu kuomba kazi na mitaji ya kuanzisha biashara
 
Mim sikusomeshwa na serikali

Wazee,pamoja na wanachuo wenzangu hawakunielewa lkn kwasasa wanachuo wenzangu wa kipindi kile wanakuja kwangu kuomba kazi na mitaji ya kuanzisha biashara
Ahahahaha,, wanalialia tu! in short washakua ombaomba.
 
Ahahahaha,, wanalialia tu! in short washakua ombaomba.
Braza ww kama unaacha chuo acha huo Sasa ndy uamuzi wa kiume,lkn kweny kilimo hapo hapana kwa kweli Bora ujikite kununua mazao tu then fanya shughuli ndogo ndogo za kukuingizia kipata kila siku.

Ww bado sana huna uwezo wa kulima labda kama unataka kulima bustani sawa
 
Back
Top Bottom