KWENYE PESA HAKUNA ADUI
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 225
- 349
Vipi kijana?Asante kaka,, ila duuuh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kijana?Asante kaka,, ila duuuh!
Ukiamia shambani na hiyo hela ikaisha, utaishi vipi huku ukisubiri kuvuna debe moja la mahindi lililopatikana kutokana na ukame?Ataishugulikia nani,, mm nikiwa chuo.?
Sihitaji kukujibu ndiyo Ila jua ni maisha yangu mpaka sasa ,ajabu ni kuwa niko kwenye payroll ya serikali naishi hivyo ,vipi wewe unayetaka ujilete huku bila kuitwa?😁😁🎉😁😁,, ulishawahi kushindia mihogo ya buku masaa 24.?
Na kila muda unasoma.?
Ahahahaha!Malizia masomo
Ahahahaha!Ahahaha
Kivipi ni maisha,, yako.?Sihitaji kukujibu ndiyo Ila jua ni maisha yangu mpaka sasa ,ajabu ni kuwa niko kwenye payroll ya serikali naishi hivyo ,vipi wewe unayetaka ujilete huku bila kuitwa?
Kulipana ndy,, kasheshe sasa.Hilo 'boom' umekopeshwa na utalipia! Usijasihau ukadhani umepewa kama sadaka au umehongwa!
Nenda kalime tu dogo!
UPO SAWA NDUGU YANGU,, SEMA NN LIFE LA HAPA CHUO LIPO 🔥🔥 NAISHI KAMA KICHAA ILI NIBAKIZE HELA ANGALAU KIDOGO NASHINDWA HATA KULA ILI HALI NIKIINGIA SHAMBA NITAPATA UHAKIKA WA KULA 100%Uko wapi?
Hiyo 1m ni ekari moja ya mpunga kulima hadi kuvuna.
Na unaweza vuna gunia 20-30
Na bei wakati wa kuvuna miezi ya Julai hadi September kwa gunia ni elf 50 ikipanda ni miez ya November, December inakuwa laki 1.
Kwa kifupi kilimo sio lele Mama....ni Lele Trump
Kamanda ulilima?Broo,, hapa nashinda njaa, nashindia mihogo😁