Nahitaji nijiengue kutoka kwenye elimu niwe mkulima wa mazao ya mpunga na mahindi

Nahitaji nijiengue kutoka kwenye elimu niwe mkulima wa mazao ya mpunga na mahindi

Na mimi namuomba MWENYEZI MUNGU anijaalie nije nifundishe vijana wasiojoweza fizikia na hesabu nipo serious huwa naumia kuna madogo wanahitaji skuli wanakosa wengine wanachezea pesa za wazazi wao.

Ningesoma ualimu si ingekuwa vipi.
 
Hilo 'boom' umekopeshwa na utalipia! Usijasihau ukadhani umepewa kama sadaka au umehongwa!

Nenda kalime tu dogo!
 
Uko wapi?
Hiyo 1m ni ekari moja ya mpunga kulima hadi kuvuna.
Na unaweza vuna gunia 20-30
Na bei wakati wa kuvuna miezi ya Julai hadi September kwa gunia ni elf 50 ikipanda ni miez ya November, December inakuwa laki 1.

Kwa kifupi kilimo sio lele Mama....ni Lele Trump
 
UPO SAWA NDUGU YANGU,, SEMA NN LIFE LA HAPA CHUO LIPO 🔥🔥 NAISHI KAMA KICHAA ILI NIBAKIZE HELA ANGALAU KIDOGO NASHINDWA HATA KULA ILI HALI NIKIINGIA SHAMBA NITAPATA UHAKIKA WA KULA 100%
 
Back
Top Bottom