Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Sifa nnazohitaji:
Umri 40+
awe mfanyabiashara kama ni muajiriwa iwe kazi ya kueleweka
kama ni MBA poa tu (simaanishi masters).
mrefu ili niwe comfortable hata kutembea nae njiani,
akiwa mfupi sawa ila ndo tutakuwa tunatembea kama bata mi mbele ye nyuma!!!!!
sura si kigezo, mwanaume hasifiwi sura
sijaweka sifa nyingi kwani mie sihitaji ndoa....
Pm zitajibiwa kasoro za ID mpya make najua ni wazinguaji
vema ukitumia ID ya siku zote ili iwe rahisi kwangu kujua we ni mtu wa aina gani
na interest zetu kama zinaendana
wadandiaji, washauri na wahubiri siwataki hapa ni love connect!!!!!
Mbona wauza unga wako wengi tu mitaani. Vaa kimini huku ukionyesha kachupi kako, ongea kama hauna akili mitaani, na jifanye mtu wa majuu sana utawapata tu kina Papaaaa kwani wanapenda sana wanawake wenye tamaa na boutique watakufungulia tu, usiwe na hofu. Je, uko tayari kujiua au kuishi maisha ya hofu?