Nahitaji papaa wa kunilea......!

Nahitaji papaa wa kunilea......!

Sifa nnazohitaji:

Umri 40+
awe mfanyabiashara kama ni muajiriwa iwe kazi ya kueleweka
kama ni MBA poa tu (simaanishi masters).
mrefu ili niwe comfortable hata kutembea nae njiani,
akiwa mfupi sawa ila ndo tutakuwa tunatembea kama bata mi mbele ye nyuma!!!!!
sura si kigezo, mwanaume hasifiwi sura
sijaweka sifa nyingi kwani mie sihitaji ndoa....

Pm zitajibiwa kasoro za ID mpya make najua ni wazinguaji
vema ukitumia ID ya siku zote ili iwe rahisi kwangu kujua we ni mtu wa aina gani
na interest zetu kama zinaendana

wadandiaji, washauri na wahubiri siwataki hapa ni love connect!!!!!

Mbona wauza unga wako wengi tu mitaani. Vaa kimini huku ukionyesha kachupi kako, ongea kama hauna akili mitaani, na jifanye mtu wa majuu sana utawapata tu kina Papaaaa kwani wanapenda sana wanawake wenye tamaa na boutique watakufungulia tu, usiwe na hofu. Je, uko tayari kujiua au kuishi maisha ya hofu?
 
Use wat U have To Grab wat U need!
Yap bi-mdada... and in case hujawanasa hao hao wafanyabiashara or Married Bt Availabo (MBA), then don't be hesitant to join the 'street bit.chin professionals'

The point is... usikubali kuzeeka masikini wakati ''uchumi/mtaji'' unao umeukalia.

-With due respekt mkuu Evelyn Salt a.k.a The Russian Spy
 
Haya mkubwa mwenzako nimejitokeza tena leo niko safarini na niko Hotel muda huu nimelala miguu miwili tu, imenikeraje?

Nashut down computer yangu majibu yako nitayakuta kesho usiku inbox, maana during the day nitakuwa nadrive kufika kule ninakokwenda.

Alamsiki.

Sawa Matola nitakuchek kwa pm.....
 
Last edited by a moderator:
Mbona wauza unga wako wengi tu mitaani. Vaa kimini huku ukionyesha kachupi kako, ongea kama hauna akili mitaani, na jifanye mtu wa majuu sana utawapata tu kina Papaaaa kwani wanapenda sana wanawake wenye tamaa na boutique watakufungulia tu, usiwe na hofu. Je, uko tayari kujiua au kuishi maisha ya hofu?

Aisee kuwa muelewa nimesema washauri/ushauri sihitaji!!!!!!!!!!
 
papaa wA nn tena beba sembe kuelekea kusini mwa afrika
 
Hizo risk nyingine tena....!!!!!!

mrs papaa hapa jf bana watakuchosha tu hamna mapapaa. nakushauri tumia muda wa wiki moja kusikiliza miziki ya bolingo ya akina falli ipupa na wengine kuwa makini kusikiliza yale majina ya mapapaa wanaotajwa note sehemu tuletee hapa tukulink nao tena utakuwa na sample space mingi na uhuru wa kuchagua kutokana na sifa ulizoainisha.
 
Hao mapaa wa kikongo hapana wana nanii.....
mbona papaa Matola yupo availabo?
 
Last edited by a moderator:
hewaaaaaa...!we unanifaa sana kupunguzia stres!
Nina 39yrz ni mwajiriwa pia mjasiriamali niPM namba yako ya simu nikutafute tuyapange mtoto mzuri

What a good news!!!!
nakupm fasta dear....
 
Back
Top Bottom