secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mjini? kama wapi mkuu...Mabikra wapo hapa hapa mjini duniani ongea na watu vizuri!!!!!!
unataka new au duplicate?????
Hawa wa duniani wala usipendelee kuwafananisha na wale walioko peponi.Mabikra wapo hapa hapa mjini duniani ongea na watu vizuri!!!!!!
unataka new au duplicate?????
Yaani natamani nipate ufafanuzi kabla sijafa...😋Utawaangalia tu kama kawaida yako mkuu! huko peponi ni ngori tu.
We mzee achana na peponi!!! hapa hapa duniani kuna bikra za mbeleee na nyumaaa nipe ya udalali nikupe chimboHawa wa duniani wala usipendelee kuwafananisha na wale walioko peponi.
Unaambiwa wale hata ukiwatoa bikra, basi bikra hiyo hurudi upya kiasi cha kufanya uwe na uhakika kuwa unajukumu la kuitoa upya.
Kuna story humu ya lwanda magere alisema kule chini ya ziwa tanganyika kuna watu wanachakata masaa 24 ndio kazi yao.Yaani natamani nipate ufafanuzi kabla sijafa...
Tanzania 🇹🇿 hihii ina neema kubwa sanaMjini? kama wapi mkuu...
Huenda ni kweli mkuu, tuamini na kushindana kufanya mema 😂Sasa kusema kweli mimi huwa najiuliza inakuwaje sehemu ambayo inasemekana ni yenye utukufu tena ikawa kama the blue velvet ya hapo sinza yaani wanawake wa bure na mifereji ya pombe za bure , aah hapana aisee😁😁
Nataka za mbele 😎We mzee achana na peponi!!! hapa hapa duniani kuna bikra za mbeleee na nyumaaa nipe ya udalali nikupe chimbo
Duh.... mjini watu wanaliwa kimasihara tena uchochoroni tu,Tanzania hihii ina neema kubwa sana
We nimeshajua lengo lako. Unataka Mimi niende nitumbukie kwenye ziwa Tanganyika nife.Kuna story humu ya lwanda magere alisema kule chini ya ziwa tanganyika kuna watu wanachakata masaa 24 ndio kazi yao.
Shida yako ni uelewa.kwamba umedhan hizo starehe ni uchafu.na hazina utukufu? Kama zisingekuwa tukufu na nzuri unadhan nan kakuwekea matamanio na haja zako .umeumbwa umejikuta unazaa na kutimiza matamanio.isipokuwa aliyekuleta dunian akakuwekea mashart. Kwa hapa ulimwengu huu wa the lowest .huko highest starehe zote ambazo hapa ulikua ukiztaka kuna masharti.kule hakuna.na kuhusu pombe wewe unazaliwa unaelewa kwa akili zetu wote ni kitu chenye kuharibu akili lakin hatujui huko ulimwengu mwingine kinachoweza kuipa akilj starehe bila kujinyea na kujikojolea je kitakua kipi?Sasa kusema kweli mimi huwa najiuliza inakuwaje sehemu ambayo inasemekana ni yenye utukufu tena ikawa kama the blue velvet ya hapo sinza yaani wanawake wa bure na mifereji ya pombe za bure , aah hapana aisee😁😁
Hivi hua ni kweli au maneno ya watu tu!Sasa kusema kweli mimi huwa najiuliza inakuwaje sehemu ambayo inasemekana ni yenye utukufu tena ikawa kama the blue velvet ya hapo sinza yaani wanawake wa bure na mifereji ya pombe za bure , aah hapana aisee
Wanakuja, usiende mbali.Huu Uzi nlitamani niwakute baadhi ya member wanatoa ufafanuzi ila siwaoni... anyway acha Nikite Kambi hapa..View attachment 3698302
Hahahhhhhhh duh.We nimeshamjua lengo lako. Unataka Mimi niende nitumbuke kwenye ziwa Tanganyika nife.
Usitumia udhaifu wangu wa kuipenda sana mbunye kama mtego wa kuniua