Nahitaji ufafanuzi zaidi kuhusu wale mabikra 72 walioko peponi 😎

Kuambiwa peponi Kuna mabikra 72 kumenfurahisha, lakini Wala hakujafanya nisahau kuuliza maswali ya msingi kuwahusu.

Nataka nijue yafuatayo:

Je, mabikra hao wana makalio makubwa yaani qeboz?

Je, watakuwa ni weusi weupe?

Je, ukipewa wazungu, ambao kwa kawaida hawana qeboz, unaruhusiwa kuwabadilisha?

Maswali ni mengi, lakini tuanza na haya kwanza.
Vipi kuhusu hawa mabikira 100 Yesu aliyowahaidi waislam wenzake hautaki kujua kuwa watakuwa weupe au weusi?

Mathayo 19:27
Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi?

Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
 
Hivi faiza foxy yuko wapi nadhani ana majibu
 
Vipi kuhusu hawa mabikira 100 Yesu aliyowahaidi waislam wenzake hautaki kujua kuwa watakuwa weupe au weusi?

Mathayo 19:27
Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi?

Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
Kumbuka Mimi huwa ni mvivu wa kusifu na kuabudu.
 
Ni hivi bosi, pepo ina raha sana. Kuna mabikra 72 wenye macho mazuri, ni zawadi kwako wewe uaminiye.

Ukifia dini (martyr) utaodhesha mabikra 72. Kiufupi utapata raha unayoipenda peponi, utachakata "mbususu" 24/7 huko peponi mkuu.

Karibu sana peponi mkuu.
 
Asante mkuu. Wewe ndiye mtu wa kwanza kunitia moyo humu.

Hawa jamaa wengine wananikatisha tamaa wakidhani sijatambua kuwa wanataka niende jehanamu wao waende peponi wajimwayemwaye na mabikra hao 72.
 
86539.jpg

secretarybird Unaitwa peponi🤣🤣🤣
 
Hakuna UJINGA kama huu mbele za MUNGU.
Upumbavu wa Hali juu Kwa MTU anayeamini haya mambo
Isije ikawa wewe ndio mjinga maana hata Yesu aliwaahidi mabikira 100 wale wanaomfuata
Au Yesu alikuwa muongo?

Mathayo 19:27
Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi?
Mathayo 19:28
Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.

Back
Top Bottom