Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Yamekaa kama chungu😆Sijapendezwa na makebo yake.
Yamekaa kama chungu😆Sijapendezwa na makebo yake.
Peponi kuna used na lodge? Au umeshtuka usingizini 😅Sema bn raha ya bikra ni kama unaoa tu, ila kama ni kula maisha unalipia lodge chukua second hand tu.
Hivi we hata kusoma Huelewi? Duhh mnaforce kufanana na ujinga wa mito ya pombe na bikra😆Isije ikawa wewe ndio mjinga maana hata Yesu aliwaahidi mabikira 100 wale wanaomfuata
Au Yesu alikuwa muongo?
Mathayo 19:27
Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi?
Mathayo 19:28
Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.
Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
Mi nazungumzia hapa duniani huko kwingine ni Imani tu.Peponi kuna used na lodge? Au umeshtuka usingizini 😅
Kabisa. Pia ni raha sana kutoa bikra kwenye pori lilijitenga na makazi ya watu....makelele hayasikiki.Sema bn raha ya bikra ni kama unaoa tu, ila kama ni kula maisha unalipia lodge chukua second hand tu.
Waache wenzio wajitunze mpaka ahera acha kuwaharibia!Mi nazungumzia hapa duniani huko kwingine ni Imani tu.
Pepo haipo! Dini zinapunguza uwezo wa mtu kufikiri. First understand before you believe.!Kuambiwa peponi Kuna mabikra 72 kumenfurahisha, lakini Wala hakujafanya nisahau kuuliza maswali ya msingi kuwahusu.
Nataka nijue yafuatayo:
Je, mabikra hao wana makalio makubwa yaani qeboz?
Je, watakuwa ni weusi weupe?
Je, ukipewa wazungu, ambao kwa kawaida hawana qeboz, unaruhusiwa kuwabadilisha?
Maswali ni mengi, lakini tuanza na haya kwanza.
Huyo achana naye.
Ni madogo kuliko tufaha 😅Yamekaa kama chungu😆
Labda angle haijakaa sawa😆Ni madogo kuliko tufaha 😅
Basi anza kula madafu kwa wingi na punguza mafuta tumboni mana bikra 72 sio mchezo.Nataka kwenda peponi.
Yaan katika ahadi ambayo Inanipa hamu ya kufika Islamic paradise ni hiyo ya mito ya pombe, siongei kwa kukebehi hiyo ahadi nimeipenda sana. Tatizo ni kwamba haina uhakika.Waache wenzio wajitunze mpaka ahera acha kuwaharibia!
Kila nikikumbuka habari za mabikra 72 na mito ya pombe nakataa ukweli kuwa hakuna Pepo.Pepo haipo! Dini zinapunguza uwezo wa mtu kufikiri. First understand before you believe.!
Kuambiwa peponi Kuna mabikra 72 kumenfurahisha, lakini Wala hakujafanya nisahau kuuliza maswali ya msingi kuwahusu.
Nataka nijue yafuatayo:
Je, mabikra hao wana makalio makubwa yaani qeboz?
Je, watakuwa ni weusi weupe?
Je, ukipewa wazungu, ambao kwa kawaida hawana qeboz, unaruhusiwa kuwabadilisha?
Maswali ni mengi, lakini tuanza na haya kwanza.
Sema unanikumbusha zamani mjomba kipindi tunakutana visimani.Kabisa. Pia ni raha sana kutoa bikra kwenye pori lilijitenga na makazi ya watu....makelele hayasikiki.
Mpiga picha atanifanya niishiwe na hamu ya kuitamani Pepo.Labda angle haijakaa sawa😆
What do you mean by duplicate dada?Mabikra wapo hapa hapa mjini duniani ongea na watu vizuri!!!!!!
unataka new au duplicate?????
Wanasema ukifika kule unapewa nguvu nyingi sana, cha muhimu we ufike tu!Basi anza kula madafu kwa wingi na punguza mafuta tumboni mana bikra 72 sio mchezo.
Kule kweingine nimekukataa kwa sababu kitu pekee kinachopatikana ni kusifu na kuabudu.Ukitumia akili yako vizuri, tofati na ile Elimu ya kukariri + kokopy na kupaste tuliyo achiwa na wakoloni utagundua kuwa; kilicho maanishwa pale ni kuwa; Mtu akifuzu na kuingia Peponi atakuwa na fursa ya kujipatia chochote cha halali kwa mujibu wa mahitajio yake...
Sasa hapo washeherashaji ndio huingia kwenye mtego; wa kukubali kila kitu
Mfano: Ukiuliza Asali itakuwepo kwa mapipa; Jibu ni ndio
Kutakuwa na matunda mazuri yasiyo na kiasi; jibu ni ndio
Kutakuwa na wanawake mabira hata mtu akitaka 30, jibu litakuwa ni Ndio
na hata ungeuliza, kutakuwa na wanaume; jibu lingekuwa hilo hilo ni ndio
ILA ukiuliza uchawi utakuwepo; jibu litakuwa hapana
Kwa hiyo kilicho maanishwa hapo ni kuwa kitu chochote cha halali kitakuwepo tena bila kupimiwa ILA hii inawahusu wale watakao fuzu na kuingia peponi PEKEE
Wewe amini tu, mengine utajua mbele ya safari as long as haiathiri chochote kwa sasa!Yaan katika ahadi ambayo Inanipa hamu ya kufika Islamic paradise ni hiyo ya mito ya pombe, siongei kwa kukebehi hiyo ahadi nimeipenda sana. Tatizo ni kwamba haina uhakika.
Hahahha mbona unachanganya tribes mkuu unataka kugundua nini?😅Mi wanipe tu uhakika wa hiyo pombe na allah anipe madem watano tu waafrica wawili, mmakonde moja, muhindi moja na mwarabu moja.