Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Uzuri wa mtu uko machoni kwa mtu😁Mbona mimi nimeyaona mazuri. 😊
Uzuri wa mtu uko machoni kwa mtu😁Mbona mimi nimeyaona mazuri. 😊
Uzuri wa mtu uko machoni kwa mtu😁
Haya wewe mwenye akili tafsiri hili andiko tuone hapa Yesu alikuwa anaamanisha nini?Duuuuh kweli akili amna umu bure kabisa
Unajidhalilisha acha tu!Haya wewe mwenye akili tafsiri hili andiko tuone hapa Yesu alikuwa anaamanisha nini?
Ila tambua kuwa neno nyumba linawakilisha mke
Mathayo 19:27
Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi?
Mathayo 19:28
Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.
Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
Hahaaa tungepata mtu ambaye anaushahidi maana hata Mohammed hajarudigi sasa hatuna uwakikaKuambiwa peponi Kuna mabikra 72 kumenfurahisha, lakini Wala hakujafanya nisahau kuuliza maswali ya msingi kuwahusu.
Nataka nijue yafuatayo:
Je, mabikra hao wana makalio makubwa yaani qeboz?
Je, watakuwa ni weusi weupe?
Je, ukipewa wazungu, ambao kwa kawaida hawana qeboz, unaruhusiwa kuwabadilisha?
Maswali ni mengi, lakini tuanza na haya kwanza.
Hivi we hata kusoma Huelewi? Duhh mnaforce kufanana na ujinga wa mito ya pombe na bikra😆
Hakuna hicho kitu hata la 7 anakuzidi uelewa wa hicho kifungu! Usilazimiahe mambo ya kijingaKumbe hajui kuwa hata katika pepo ya Yesu kutakuwa na pombe?
Isee! Nyinyi wagalatia sijui mnakwama wapi
Tunaposema Yesu ni muislam muwe mnaelewa
Mathayo 26:29
Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.
Ulikuwa haujui kuwa Yesu ameahidi mabikira 100?Unajidhalilisha acha tu!
We ni akili mnemba au?Ulikuwa haujui kuwa Yesu ameahidi mabikira 100?
Nyinyi wagalatia hamufuati Yesu ila mnafuata Paulo
Tafsiri hili andiko tuone kama hapo hakuna mabikira 100
Mathayo 19:27
Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi?
Mathayo 19:28
Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.
Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
Inahusiana vipi na mada? Hii week unatukana sana wakristo so far imekusaidia nini? Kama Umekaa ukaona haina msaada kwako act matured and step aside acha kujishusha viwango kisa mambo ya kidini!Sina majibu kwa waislamu, ila imani ya kikristo ni takataka zaidi, kwa sababu naijua na nilisha wahi kuwa Mkristo , na nimebatizwa kama Mkristo nimesoma kipaimara , nilishawahi kuwa TAG, Catholic na Lutheran, nawajua kila kitu kuwahusu.
Sina majibu kwa waislamu, ila imani ya kikristo ni takataka zaidi, kwa sababu naijua na nilisha wahi kuwa Mkristo , na nimebatizwa kama Mkristo nimesoma kipaimara , nilishawahi kuwa TAG, Catholic na Lutheran, nawajua kila kitu kuwahusu.
Hauna akili ya kujadili na mimi kwa kitu chochote kuhusu dini hivyo kafie mbali tu🚮"kusoma" kipaimara kwanza lugha inakushika, hakuna Christian anayeweza kusema "nimesoma kipaimara", pili lets give the the devil its due tuseme kweli "ulisoma" na je, ulifaulu na kufuzu? kwa maana Kipaiamra kuna mtihani ukifaulu ndiyo unapata, sasa wewe kusema ulisoma haisemi chochote kuna wengi tu wanafeli mtihani wa kipaimara ...
Hauna akili ya kujadili na mimi kwa kitu chochote kuhusu dini hivyo kafir mbali tu🚮
Mathayo 19:29We ni akili mnemba au?
Utakua umefanya vyema ukielewa bila kelelesawa, got you ...
Predator tunameshajaaa tupo full squad.Hamtaki wageni 😁