Nahitaji ufafanuzi zaidi kuhusu wale mabikra 72 walioko peponi 😎

Nahitaji ufafanuzi zaidi kuhusu wale mabikra 72 walioko peponi 😎

Kuambiwa peponi Kuna mabikra 72 kumenfurahisha, lakini Wala hakujafanya nisahau kuuliza maswali ya msingi kuwahusu.

Nataka nijue yafuatayo:

Je, mabikra hao wana makalio makubwa yaani qeboz?

Je, watakuwa ni weusi weupe?

Je, ukipewa wazungu, ambao kwa kawaida hawana qeboz, unaruhusiwa kuwabadilisha?

Maswali ni mengi, lakini tuanza na haya kwanza.
Sasa endapo watakatifu buku au mia Tano wakienda peponi je awo mabikra 72 watagawanwa vp Sasa....?
Hizi adithi za awa ndugu zetu uwa zina chekesha sometimes
 
Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.

Hili andiko lipo katika kitabu ambocho Kila J2 unakiweka kwapani unaenda nacho kanisani

Yesu ananesema Vitu vyenu mlivyoviacha mkanifuata Mimi mtapata mara 100 Sasa kama aliacha mke Mmoja atapata wangapi?

We nenda tu kanisani ukalie na kuimba siku yako ya kufa ifike uende Jahanam huko ndiko hakuna mabikira
Huna unachoelewa endelea kuhubiri ujinga 🚮
 
Huna unachoelewa endelea kuhubiri ujinga 🚮
Sio wewe tu hata cardinal wako hawezi kutafasili hili andiko alafu aseme hapa hakuna ahadi ya wake 100
Isipokuwa mmezoea kudanganyana

Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
 
Ni hivi bosi, pepo ina raha sana. Kuna mabikra 72 wenye macho mazuri, ni zawadi kwako wewe uaminiye.

Ukifia dini (martyr) utaodhesha mabikra 72. Kiufupi utapata raha unayoipenda peponi, utachakata "mbususu" 24/7 huko peponi mkuu.

Karibu sana peponi mkuu.
Muda huo mudi na Allah wako humohumo kwenye pepo hiyo??
 
maswali yako hayawez pata majibu
hakuna aliyewahi kufa akarudi kuleta majibu
ukifa majibu utayapata huko huko
 
Nliwaokota sana kipindi hiko, nlikuwa naonekana maisha safi kumbe holaaaaaaa.
Ilimradi uliwagonga, hata wakigundua kuwa ulikuwa hola hawatabadilisha historia. Wataishia kusema yaliyopita si ndwele
 
Sasa endapo watakatifu buku au mia Tano wakienda peponi je awo mabikra 72 watagawanwa vp Sasa....?
Hizi adithi za awa ndugu zetu uwa zina chekesha sometimes
Piga hesabu. Kwa mola hakuna kinachoshindikana.
 
Back
Top Bottom