kadeti
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,364
- 1,482
Sasa endapo watakatifu buku au mia Tano wakienda peponi je awo mabikra 72 watagawanwa vp Sasa....?Kuambiwa peponi Kuna mabikra 72 kumenfurahisha, lakini Wala hakujafanya nisahau kuuliza maswali ya msingi kuwahusu.
Nataka nijue yafuatayo:
Je, mabikra hao wana makalio makubwa yaani qeboz?
Je, watakuwa ni weusi weupe?
Je, ukipewa wazungu, ambao kwa kawaida hawana qeboz, unaruhusiwa kuwabadilisha?
Maswali ni mengi, lakini tuanza na haya kwanza.
Hizi adithi za awa ndugu zetu uwa zina chekesha sometimes