ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 3,828
- 5,728
Subhanalah.! Shekhe huamini pepo.?Hakuna ukweli wowote, ni imani waliojijengea watu kwa kupeana matumaini hewa.
Sawa labda bikra sio ishu kwako vipi kuhusu mito ya Gambe.! 😎
Peponi hakuna visungura