Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Kwa utafiti wangu wa kitamaduni,secretarybird anawaza kutindua mrembo wa kufikirika muda huu.Hatari sana.
Mrembo wa kufikirika kivipi mkuu 😂Kwa utafiti wangu wa kitamaduni,secretarybird anawaza kutindua mrembo wa kufikirika muda huu.Hatari sana.
Hivi comment yako haitanikatisha tamaa mkuu. Bado nitapambana kufanya mema nifike peponi...Hakuna ukweli wowote, ni imani waliojijengea watu kwa kupeana matumaini hewa.
😁😂Cha kushangaza utajibiwa na wazee wa kukojolewa usoni na mapasta zao tu
Unaamini wapo hao warembo wenye macho makubwa na bikra zinazojirudisha zikitolewa?Hebu achana na hayo tunywe mbege kwa utulivu.Mrembo wa kufikirika kivipi mkuu 😂
Mkuu hata wavaa kobazi hawawezi kujibu hiliCha kushangaza utajibiwa na wazee wa kukojolewa usoni na mapasta zao tu
Wazee wa harusi moja tu ya mwana kondoo hakuna kula wala kunywa , japo kuwa ni harusi.
Niko njiapanda.Unaamini wapo hao warembo wenye macho makubwa na bikra zinazojitudisha zikitolewa?Hebu achana na hayo tunywe mbege kwa utulivu.
Hivi wewe jamaa unaweza kuamini mvaa mashuka kweli😆😆Hivi hua ni kweli au maneno ya watu tu!
Hawa wazee wana shida mahali.Wazee wa harusi moja tu ya mwana kondoo hakuna kula wala kunywa , japo kuwa ni harusi.
Hapo kwenye mbuga ya nguruwe umeongeza manjonjo mkuu.Mzee hujasoma vizuri ni bikra 72 wakiwa wamejitenga kwenye kisiwa chenye mbuga y nguruwe na ndan yake kuna mto wa pombe.
Kama kweli watakuwepo wenye makebo makubwa tu kama yale ya sanchoka basi tafuteni mufti yoyote anipokee kama member mpya 😁😁Je, mabikra hao wana makalio makubwa yaani qeboz?
Sawa km nasema uongo wenzako tuna jiandaa na pepo duniani n pakupita tu.Hapo kwenye mbuga ya nguruwe umeongeza manjonjo mkuu.