R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 1,958 Reaction score 1,744 May 6, 2023 #1 Habari wakuu. Nahitaji usafiri wa mizigo kutoka Himo mpaka Kisongo Arusha. Mzigo wa tani Moja ukiwa kwenye magunia au viroba. Naomba price quote. Ni biashara endelevu.
Habari wakuu. Nahitaji usafiri wa mizigo kutoka Himo mpaka Kisongo Arusha. Mzigo wa tani Moja ukiwa kwenye magunia au viroba. Naomba price quote. Ni biashara endelevu.
berylyn JF-Expert Member Joined Dec 26, 2021 Posts 877 Reaction score 2,618 May 6, 2023 #2 Hiyo himo ni Ile himo ya Kenya au?
R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 1,958 Reaction score 1,744 May 7, 2023 Thread starter #3 berylyn said: Hiyo himo ni Ile himo ya Kenya au? Click to expand... Pale Moshi Njia Panda Ya Himo.