Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile.

IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu Ukabidi Niende Dodoma kama miezi mitano au sita Ilopita Na yeye Nikamuacha Tabora.

Tulikuwa tunawasiliana Vizuri tu na kuna kipindi Ilitokea Shida kidogo mwezi mmoja baada ya mimi Kuondoka, Kulitokea Hitilafu Kwenye Ujenzi tunaofanya hapo Kahama kwakuwa nilikuwa mbali na yeye Ni mfanyakazi wa Serkali nikamuomba akakope Pesa Kiasi halafu nitakuja Kufidishia (Ndiyo Tinavyofanya siku zote).

Kama Jukumu likiwa la kwangu na yeye akiwa na means ya kufanya bhasi anafanya Mimi naandika deni.

Kwakuwa Benki walikuwa wanachelewa Ikabidi aende kwa wanaoacha Kadi akafanikiwa na kupata pesa na kila mwezi akawa anakatwa pesa zake na alikuwa anafata kiasi kinachobaki hapo ofisini..

Wiki Moja kabla nikawa Nahisi Kama Kuna uwezekano Mke wanhu ananisaliti (Mimi ni mtu wa Kufanya Sana Meditation Hivyo Hisia zikinijia bhasi lazma nizifanyie Meditation Kwa siku angalau mbili na huwa napewa clear Picture)..

Kipindi nafanya Meditation nikawa naona kabisa Mke wangu ananisaliti sasa Baada ya miezi minne kuondoka huko Nikawa namuuliza Huko ni salama mbona kama kuna kitu kibaya unafanya jibu lake hakuna shida yoyote.

Guyz huyo jamaa wa Microfinace simjui na Sijakutana naye ila kuna kitu kikawa kina niambia nimuulize Wife na nimkazanie kuhusu Huyo mtu kwa nguvu mpaka aseme ikibidi Nitumie uongo wowote kama mwanaume..

Nilifanikiwa Kimlazimisha na kumuuliza hatimaye akaamua kugunguka kuwa yule Jamaa wa Microfinace alimbaka Yeye alipokuwa Ofisini kwake Kuchukua Kiasi cha Pesa Kilichobaki na wala haikuwa dhamiri yake.

Nikamuiliza Umereport tukio hilo akajibu "Hapana"
Nikamuuliza Ulipiga kelele akajibu "Hapana maana nisingesikika wala watu wasingeniamini"

Nikawaza sana huyu Wife nimezaa Naye watoto watatu..
Na anassma alimbaka Miezi minne Exactly tangu nilivyoondka ila nisingemuuliza Nadhani ingeendelea Kuwa story ya siri yake..

Ninawaza kumpa Talaka Tatu ila bado nahofu na watoto wangu Nimempa Talaka 2 ila akili yangu bado inaona nimeumizwa sana nastahili kufanya kitu ila bado moyo unavuja damu nifanye nini??

Naombeni wan JF mnishauri Nifanye Nini maana naumia Sana.

Na kwa maelezo yake Bado siamini kabisa.

Naombeni sana Ushauri maana ametishia Kujiua endapo sitamrejea
Shirikisha wazazi wake kabla hatujakupa ushauri
 
Alafu kwa nini mnaoenda kuzeesha watu? Yeye bado kikajana bwana.

Watu wazima hawawezi mind mbususu ya mke kuliwa mpaka kuja kuandika hapa jf
Hiyu ni mzee kabisa...kesho kutwa tu anafikisha 50.

Lazima amind mbususu yake kuliwa..imagine hajawahi hata kucheat tangu aoe..jamaa ni mwaminifu kwa wife wake sio kama wewe.
 
Hebu fikiria jamaa lilimuimbisha, mwanzo akawa anakaza. Likaendele kumuimbisha hadi akalegeza. Wakapanga appointment.

Amefika likaanza kumshikashika, huku linampiga denda na mabusu kibao. Mkeo anagugumia kwa utamu.

Likaanza kumvua nguo moja baada ya nyingine. Mpaka likakutana na kitumbua. Likacheza na masikio, shingo, matiti, clitoris mpaka likampima oil. Muda wote huo anatoa tu ushirikiano.

Mpaka likaanza kumuingizia taratibu, anatoa miguno yote. Likamkunja style mbalimbali. Ikichomoka mkeo anairudishia haraka. Likamwagia ndani. Mzunguko ukaendelea kwa masaa, siku, weeks na sasa miezi.

Halafu wewe unasita kumpa talaka tatu. Hauoni una matatizo mahali?

Ukisamehe ujiandae kumsamehe tena, hataacha.
Hii comment afanyiwe lamination.na jina la huyu bwana liingie kwenye orodha ya kuwania tunzo za mwanaume asiyeyumbishika 2024
 
Hebu fikiria jamaa lilimuimbisha, mwanzo akawa anakaza. Likaendele kumuimbisha hadi akalegeza. Wakapanga appointment.

Amefika likaanza kumshikashika, huku linampiga denda na mabusu kibao. Mkeo anagugumia kwa utamu.

Likaanza kumvua nguo moja baada ya nyingine. Mpaka likakutana na kitumbua. Likacheza na masikio, shingo, matiti, clitoris mpaka likampima oil. Muda wote huo anatoa tu ushirikiano.

Mpaka likaanza kumuingizia taratibu, anatoa miguno yote. Likamkunja style mbalimbali. Ikichomoka mkeo anairudishia haraka. Likamwagia ndani. Mzunguko ukaendelea kwa masaa, siku, weeks na sasa miezi.

Halafu wewe unasita kumpa talaka tatu. Hauoni una matatizo mahali?

Ukisamehe ujiandae kumsamehe tena, hataacha.
Hii comment afanyiwe lamination.na jina la huyu bwana liingie kwenye orodha ya kuwania tunzo za mwanaume asiyeyumbishika
 
Truth Bot AI Mkuu pole na allah akufanyie wepesi kwenye kipindi hiki kigumu, ukichunguza utakuta kuna mambo umekosea ndio maana yakakukuta madhara fulani, na uwe na moyo wa subra, pia hakuna talaka mbili kwa pamoja wala tatu kwa pamoja, hata kama ukifika maamuzi fulani ni vyema kufuata utaratibu sahihi, unaweza kunifuata PM tukajadili tukashauriana, asante.
NimekuPM mkuu
 
Wanyamwezi mwadila mpola....kwangu msaliti ni teke moja mpaka nje ya fence....usaliti ni tabia hawez acha ila atatafuta mbinu mpya ya kuliwa!!watoto isiwe kigezo cha wewe kuish na msaliti,lakin kama na wew una mchepuko basi msamehe hapa aggregate ni 3-3....
Sawa mkuu
 
Yeah kwenye ishu ya kuhama naye ni jambo la muhimu sana vinginevyo jamaa wa microfinance ataendelea kumsumbua na kumkumbushia jinsi walivyoenjoy siku ya kwanza hatoweza kumkwepa.
Uhamisho siku hizi mgumu sana kwa watumishi wa Umma
 
Kabla hujafanya maamuz yoyote jiulize haya maswali.
Wewe binafs hujawah kumsaliti?
Watoto wako watalelewaje bila mama yao.
Mazingira ya mbali ndio chanzo cha yote hayo?
Nikimsamehe nitapungukiwa na nini.
Maamuz yoyote unayochukua yalenge watoto sio ubinafs wenu.
Mwisho, bila umuhim. Biblia inasema aliwazalo mtu ndilo humtokea. Msiishi kwa kushika simu zenu au hayo ma meditation just amin mkeo unamuamin muombee maisha yaende.
M8mi sijawahi kusaliyi Mkuu na ndo maana napata maumivu sana
 
Back
Top Bottom