Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

Shirikisha wazazi wake kabla hatujakupa ushauri
 
Alafu kwa nini mnaoenda kuzeesha watu? Yeye bado kikajana bwana.

Watu wazima hawawezi mind mbususu ya mke kuliwa mpaka kuja kuandika hapa jf
Hiyu ni mzee kabisa...kesho kutwa tu anafikisha 50.

Lazima amind mbususu yake kuliwa..imagine hajawahi hata kucheat tangu aoe..jamaa ni mwaminifu kwa wife wake sio kama wewe.
 
Hii comment afanyiwe lamination.na jina la huyu bwana liingie kwenye orodha ya kuwania tunzo za mwanaume asiyeyumbishika 2024
 
Hii comment afanyiwe lamination.na jina la huyu bwana liingie kwenye orodha ya kuwania tunzo za mwanaume asiyeyumbishika
 
NimekuPM mkuu
 
Sawa mkuu
 
Yeah kwenye ishu ya kuhama naye ni jambo la muhimu sana vinginevyo jamaa wa microfinance ataendelea kumsumbua na kumkumbushia jinsi walivyoenjoy siku ya kwanza hatoweza kumkwepa.
Uhamisho siku hizi mgumu sana kwa watumishi wa Umma
 
M8mi sijawahi kusaliyi Mkuu na ndo maana napata maumivu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…