Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

Pole sana.
Ila kwa umri wako unastahili sasa kuangalia mambo kwa picha kubwa zaidi.

Mambo ya ngono yapo tu, onyanyeni msameheane maisha yaendelee kwa faida ya watoto.
Nyi ndo mnasanabishaga mauaji.yaan akivuliwa nguo inakuja picha Jamaa lilimuingiza ndonga .akitaka nyonya uchi anawaza Jamaa alikojolea hapa.afu pia hakuna uhakika kama hakula jicho.
USHAURI WANGU
1.Jamaa ampe talaka zote haraka .Kisha asimfukuze amuachie na nyumba .Jamaa aondoke akapange mtaani .kila mwisho wa mwezi atoe matumizi .
2.Akajikite kujitibu kwa kuwa karibu na mashehe na Zipo dua watampa zinasaidia atasahau kama hakuwahi Mjua.
3.Watoto wasijue hili waendelee kuwajali na kuwapenda kama hakuna kilichotokea .vitu kama birthday .visiting day .graduation.kutoka out viendelee kama kawaida.
Asilimia 85 ya wenye ndoa wanacheat in life time so be wise umalize siku zako kwa aman.
Ishu ni kutojua ukijua Bora utafute Cheater mpya
 
Girs cheat for love boys cheat for sex (Plato) tafakari chukua hatua
 
Mkuu Umeongea Ukweli Kabisa..
Na ndo maana Nipo Dilema
Maamuzi yeyeto yasiathiri kesho ya watoto,mateja,mashoga,malaya,ni zao la single mama.
Shetani haleti mitihani kwenye ndoa isiyotishia ufalme wake
 
Hufai kuitwa mwanaume... Hufai kwa Lolote... Mwanamke anakuchezea akili unajiuliza tu bado... Hopeless useless kabisa wewe
 
Kugongewa kawaida tu Wala usjari mkuu fanya Kama ndo una kutana nae Leo af bar Kisha samehe
 
Okay wacha nikufafanulie mkuu wangu, eda ya talaka moja ni hedhi tatu na kwa wanawake wasiopata hedhi ni miezi mitatu isipokuwa akimrejea kabla haijakamilika, eda ya kufiwa ni miezi minne na siku 10 yaani hedhi nne na siku 10, umegundua tofauti yake?.
 
Pole sana ndugu
nikuulize maswali mawili kisha nikushauri
Mkeo ulimkuta ni bikira? kama ulimkuta bikira je na wewe alikuwa mwanamke wako wa kwanza katika maisha yako? kama haya yote majibu ni hapana ni kwamba toka mwanzo mlioana wote mkiwa mme wa mtu na mke wa mtu (yaani ukioa mwanamke ambaye sio bikira umeoa mke wa mtu)
kwa maisha ya sasa yenye wingi wa usaliti na jamii ikihamasishwa kufanya ngono na kuchit kupita kiasi hakuna jinsi ambavyo ndoa zitakuwa salama.
gharama ya kuachana na huyo mke ni kubwa kuliko kuendelea kuwa naye hivyo msamehe maisha yaendelee tu asali haijawahi kuwa na makombo.
 
Mkuu Nafahamu Eda zote ila Nilikujibu kutkana na kuwa Ulinirekebisha kwenye Miezi minne na Siku 10..
Eda na Talaka ipo kwenye Sunna na Quran Suratul Baqara..



Na kuhusu Eda Ya kifo pia ni

 
Mi tuongelee meditation mkuu,kwa hyo ukaona live kabisa via meditation
 
Kama aligongewa mke willsmith mwenyê pesa na ustar juu tena yupo U.S.A maandish matatu...na akamsamehe mkewe.....iwe wew ticha kwel......we kausha ukimwachaaaa kuna watu wanavuta mzigooooo huoo
 
Mkuu pole, ila kama bado unasita, jipe muda uweze kufanya maamuzi sahihi. Unaweza kumuacha ukavuruga mfumo wako wote na watoto wakatangatanga.
 
Hiyu ni mzee kabisa...kesho kutwa tu anafikisha 50.

Lazima amind mbususu yake kuliwa..imagine hajawahi hata kucheat tangu aoe..jamaa ni mwaminifu kwa wife wake sio kama wewe.
Mie sina wife bwana mbona wanipa majukumu nisiyoyaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…