Bwana wee nashangaa mwanaume ana mind eti mke wake kugegedwa🤣🤣🤣 kujipa stress za bure tuu. Mbususu ni yake mwanamke na atampa ampendaje na huna lolote waweza fanya. Sawa na wewe kidume de liboloz lako watembeza kokote na hakuma kitu mke anaweza fanya.Kama aligongewa mke willsmith mwenyê pesa na ustar juu tena yupo U.S.A maandish matatu...na akamsamehe mkewe.....iwe wew ticha kwel......we kausha ukimwachaaaa kuna watu wanavuta mzigooooo huoo
Never trust a woman hata kama angalia anatoa machozi ya damHabari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile.
IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu Ukabidi Niende Dodoma kama miezi mitano au sita Ilopita Na yeye Nikamuacha Tabora.
Tulikuwa tunawasiliana Vizuri tu na kuna kipindi Ilitokea Shida kidogo mwezi mmoja baada ya mimi Kuondoka, Kulitokea Hitilafu Kwenye Ujenzi tunaofanya hapo Kahama kwakuwa nilikuwa mbali na yeye Ni mfanyakazi wa Serkali nikamuomba akakope Pesa Kiasi halafu nitakuja Kufidishia (Ndiyo Tinavyofanya siku zote).
Kama Jukumu likiwa la kwangu na yeye akiwa na means ya kufanya bhasi anafanya Mimi naandika deni.
Kwakuwa Benki walikuwa wanachelewa Ikabidi aende kwa wanaoacha Kadi akafanikiwa na kupata pesa na kila mwezi akawa anakatwa pesa zake na alikuwa anafata kiasi kinachobaki hapo ofisini..
Wiki Moja kabla nikawa Nahisi Kama Kuna uwezekano Mke wanhu ananisaliti (Mimi ni mtu wa Kufanya Sana Meditation Hivyo Hisia zikinijia bhasi lazma nizifanyie Meditation Kwa siku angalau mbili na huwa napewa clear Picture)..
Kipindi nafanya Meditation nikawa naona kabisa Mke wangu ananisaliti sasa Baada ya miezi minne kuondoka huko Nikawa namuuliza Huko ni salama mbona kama kuna kitu kibaya unafanya jibu lake hakuna shida yoyote.
Guyz huyo jamaa wa Microfinace simjui na Sijakutana naye ila kuna kitu kikawa kina niambia nimuulize Wife na nimkazanie kuhusu Huyo mtu kwa nguvu mpaka aseme ikibidi Nitumie uongo wowote kama mwanaume..
Nilifanikiwa Kimlazimisha na kumuuliza hatimaye akaamua kugunguka kuwa yule Jamaa wa Microfinace alimbaka Yeye alipokuwa Ofisini kwake Kuchukua Kiasi cha Pesa Kilichobaki na wala haikuwa dhamiri yake.
Nikamuiliza Umereport tukio hilo akajibu "Hapana"
Nikamuuliza Ulipiga kelele akajibu "Hapana maana nisingesikika wala watu wasingeniamini"
Nikawaza sana huyu Wife nimezaa Naye watoto watatu..
Na anassma alimbaka Miezi minne Exactly tangu nilivyoondka ila nisingemuuliza Nadhani ingeendelea Kuwa story ya siri yake..
Ninawaza kumpa Talaka Tatu ila bado nahofu na watoto wangu Nimempa Talaka 2 ila akili yangu bado inaona nimeumizwa sana nastahili kufanya kitu ila bado moyo unavuja damu nifanye nini??
Naombeni wan JF mnishauri Nifanye Nini maana naumia Sana.
Na kwa maelezo yake Bado siamini kabisa.
Naombeni sana Ushauri maana ametishia Kujiua endapo sitamrejea
Ole MPUMBAVU bebeMkuu, kwa afya ya maisha yako, MSAMEHE. Fanya juhudi za kuishi nae pamoja.
SAMEHE.
Acha UPUMBAVU,fukuza hilo lisaliti.Acha kumsumbua waziri kwa umalaya wa mkeo ambaye anakuona bwege kiasi cha kutunga uongo wa kitoto kama huo.Ni kweli Kabisa Mkuu Hivi mama Dkt. Gwajima D hawezi kunisaidia au hakuna Sheria "Kama kweli amebakwa" za kufuata..
Na kiukweli Mkuu Nilikuwa Ninamwamini sana Mke wangu kwa sababu nimekuwa naye kwa muda mrefu kwenye Ndoa kama miaka 8 hivi
Afate huu ushauri mkuu,infact mwanmke anajililia kwake means anajutia alichokitenda,Kusamehe nikazi saa ila nikitu kitakachomlipa endapo akifaulu kumsamehe mkewe.nahuenda mkewe akaja kua bora zaidi na makini zaidi baada ya kusamehewa.Nakushauri kausha tuu, abaki na hizo talaka 2, kupata mtu muaminifu siku hizi ngumu sana,
Mke wako anakupenda ndio maana anashiriki pamoja na wewe mambo ya kimaendeleo, na anajiweka dhamana kama hivyo usikwame
Fata ushauri huu pia kaka!!Mwanamke huendeshwa na hisia na ndio zimefanya kafanya hayo mambo.
MWANAUME hutumia akili Na ndio mana hata mke akigundua kuna mchepuko Na akakuuliza huwezi kukubali kama unagonga huyo demu.
Mkeo mzuri na unampenda sana
Mkeo anakupenda Sana ndio mana kakuzalia watoto watatu.
Mke wako Kakwambia ukweli kama jamaa kagonga.
Sasa hisia zisikupekele ukaharibu ndoa yako mwenyewe mkuu.
Mchizi kugonga mara moja inauma lakini inauma zaidi kama mkeo atakuwa anaendelea na jamaa.
Mrudie mkeo kaka.
Mrudie mkeo kaka.
Mrudie mkeo kaka.
Akiendelea basi maamuzi yako ni muhimu kwamaana hawezi kuacha hata huko aendapo.
Sema tu ni mzee ila wa townOk sawa Mimi Ni Mwanaume wa makamo!
Aiseeh pole sana kama mimi mwanaume siwezi kuishi na mwanamke msaliti nadhani ndio utakuwa mwisho wetu anyway maamuzi jinsi ya kuhandle issue ya usaliti zinatofautiana kati ya mtu na mtu kuna wanaoweza kusamehe na maisha yakaendelea its up to your mwenyezi mungu akutie nguvu na hekima katika kipindi hiki ila kwa mimi big no utaumia sawa ila utakuwa sawa zaidi...
Shukrani mkuu mimi Moyo unakataa kabisa kuendelea naye Unless Tuendlee naye kwa ajili ya watoto ila sitaweza Kushiriki naye tendo
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile.
IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu Ukabidi Niende Dodoma kama miezi mitano au sita Ilopita Na yeye Nikamuacha Tabora.
Tulikuwa tunawasiliana Vizuri tu na kuna kipindi Ilitokea Shida kidogo mwezi mmoja baada ya mimi Kuondoka, Kulitokea Hitilafu Kwenye Ujenzi tunaofanya hapo Kahama kwakuwa nilikuwa mbali na yeye Ni mfanyakazi wa Serkali nikamuomba akakope Pesa Kiasi halafu nitakuja Kufidishia (Ndiyo Tinavyofanya siku zote).
Kama Jukumu likiwa la kwangu na yeye akiwa na means ya kufanya bhasi anafanya Mimi naandika deni.
Kwakuwa Benki walikuwa wanachelewa Ikabidi aende kwa wanaoacha Kadi akafanikiwa na kupata pesa na kila mwezi akawa anakatwa pesa zake na alikuwa anafata kiasi kinachobaki hapo ofisini..
Wiki Moja kabla nikawa Nahisi Kama Kuna uwezekano Mke wanhu ananisaliti (Mimi ni mtu wa Kufanya Sana Meditation Hivyo Hisia zikinijia bhasi lazma nizifanyie Meditation Kwa siku angalau mbili na huwa napewa clear Picture)..
Kipindi nafanya Meditation nikawa naona kabisa Mke wangu ananisaliti sasa Baada ya miezi minne kuondoka huko Nikawa namuuliza Huko ni salama mbona kama kuna kitu kibaya unafanya jibu lake hakuna shida yoyote.
Guyz huyo jamaa wa Microfinace simjui na Sijakutana naye ila kuna kitu kikawa kina niambia nimuulize Wife na nimkazanie kuhusu Huyo mtu kwa nguvu mpaka aseme ikibidi Nitumie uongo wowote kama mwanaume..
Nilifanikiwa Kimlazimisha na kumuuliza hatimaye akaamua kugunguka kuwa yule Jamaa wa Microfinace alimbaka Yeye alipokuwa Ofisini kwake Kuchukua Kiasi cha Pesa Kilichobaki na wala haikuwa dhamiri yake.
Nikamuiliza Umereport tukio hilo akajibu "Hapana"
Nikamuuliza Ulipiga kelele akajibu "Hapana maana nisingesikika wala watu wasingeniamini"
Nikawaza sana huyu Wife nimezaa Naye watoto watatu..
Na anassma alimbaka Miezi minne Exactly tangu nilivyoondka ila nisingemuuliza Nadhani ingeendelea Kuwa story ya siri yake..
Ninawaza kumpa Talaka Tatu ila bado nahofu na watoto wangu Nimempa Talaka 2 ila akili yangu bado inaona nimeumizwa sana nastahili kufanya kitu ila bado moyo unavuja damu nifanye nini??
Naombeni wan JF mnishauri Nifanye Nini maana naumia Sana.
Na kwa maelezo yake Bado siamini kabisa.
Naombeni sana Ushauri maana ametishia Kujiua endapo sitamrejea
Uko na brain nzuri sana Demi, and I like your thinking capacity ila fanya uwezavyo usimsaliti MUME, kwa mahusiano mengine sawa ila sio kwa MUME.Okay.
Je meditation haiwezi saidia ukapata solution?
Haya maswali hayana maana yoyote. Yaishie hukohuko mikoani kwenye dunia ya "mabwepande".Mkuu are u clean? Hujawahi kucheat mkeo?
Muoshwa huoshwa...malipo ni hapa hapa duniani🏃♀️🏃♀️🏃♀️Uko na brain nzuri sana Demi, and I like your thinking capacity ila fanya uwezavyo usimsaliti MUME, kwa mahusiano mengine sawa ila sio kwa MUME.
Elimu elimu elimuHaya maswali hayana maana yoyote. Yaishie hukohuko mikoani kwenye dunia ya "mabwepande".