Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

Kama aligongewa mke willsmith mwenyê pesa na ustar juu tena yupo U.S.A maandish matatu...na akamsamehe mkewe.....iwe wew ticha kwel......we kausha ukimwachaaaa kuna watu wanavuta mzigooooo huoo
Bwana wee nashangaa mwanaume ana mind eti mke wake kugegedwa🤣🤣🤣 kujipa stress za bure tuu. Mbususu ni yake mwanamke na atampa ampendaje na huna lolote waweza fanya. Sawa na wewe kidume de liboloz lako watembeza kokote na hakuma kitu mke anaweza fanya.

Sharing is caring when comes to mbususu 😝
 
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile.

IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu Ukabidi Niende Dodoma kama miezi mitano au sita Ilopita Na yeye Nikamuacha Tabora.

Tulikuwa tunawasiliana Vizuri tu na kuna kipindi Ilitokea Shida kidogo mwezi mmoja baada ya mimi Kuondoka, Kulitokea Hitilafu Kwenye Ujenzi tunaofanya hapo Kahama kwakuwa nilikuwa mbali na yeye Ni mfanyakazi wa Serkali nikamuomba akakope Pesa Kiasi halafu nitakuja Kufidishia (Ndiyo Tinavyofanya siku zote).

Kama Jukumu likiwa la kwangu na yeye akiwa na means ya kufanya bhasi anafanya Mimi naandika deni.

Kwakuwa Benki walikuwa wanachelewa Ikabidi aende kwa wanaoacha Kadi akafanikiwa na kupata pesa na kila mwezi akawa anakatwa pesa zake na alikuwa anafata kiasi kinachobaki hapo ofisini..

Wiki Moja kabla nikawa Nahisi Kama Kuna uwezekano Mke wanhu ananisaliti (Mimi ni mtu wa Kufanya Sana Meditation Hivyo Hisia zikinijia bhasi lazma nizifanyie Meditation Kwa siku angalau mbili na huwa napewa clear Picture)..

Kipindi nafanya Meditation nikawa naona kabisa Mke wangu ananisaliti sasa Baada ya miezi minne kuondoka huko Nikawa namuuliza Huko ni salama mbona kama kuna kitu kibaya unafanya jibu lake hakuna shida yoyote.

Guyz huyo jamaa wa Microfinace simjui na Sijakutana naye ila kuna kitu kikawa kina niambia nimuulize Wife na nimkazanie kuhusu Huyo mtu kwa nguvu mpaka aseme ikibidi Nitumie uongo wowote kama mwanaume..

Nilifanikiwa Kimlazimisha na kumuuliza hatimaye akaamua kugunguka kuwa yule Jamaa wa Microfinace alimbaka Yeye alipokuwa Ofisini kwake Kuchukua Kiasi cha Pesa Kilichobaki na wala haikuwa dhamiri yake.

Nikamuiliza Umereport tukio hilo akajibu "Hapana"
Nikamuuliza Ulipiga kelele akajibu "Hapana maana nisingesikika wala watu wasingeniamini"

Nikawaza sana huyu Wife nimezaa Naye watoto watatu..
Na anassma alimbaka Miezi minne Exactly tangu nilivyoondka ila nisingemuuliza Nadhani ingeendelea Kuwa story ya siri yake..

Ninawaza kumpa Talaka Tatu ila bado nahofu na watoto wangu Nimempa Talaka 2 ila akili yangu bado inaona nimeumizwa sana nastahili kufanya kitu ila bado moyo unavuja damu nifanye nini??

Naombeni wan JF mnishauri Nifanye Nini maana naumia Sana.

Na kwa maelezo yake Bado siamini kabisa.

Naombeni sana Ushauri maana ametishia Kujiua endapo sitamrejea
Never trust a woman hata kama angalia anatoa machozi ya dam
 
Njoo unikodi mimi na bunduki yangu tukamteke huyo kijana na wife nae tumzoe then twende nao porini tuchimbe na kaburi kabisa alafu tuwafanyie interrogation majibu utayajua vizuri
 
Dah huo ubakaji ulikuwa smooth kweli inaonekana mbakwaji alikuwa anatoa ushirikiano kadri awezavyo
 
Ni kweli Kabisa Mkuu Hivi mama Dkt. Gwajima D hawezi kunisaidia au hakuna Sheria "Kama kweli amebakwa" za kufuata..

Na kiukweli Mkuu Nilikuwa Ninamwamini sana Mke wangu kwa sababu nimekuwa naye kwa muda mrefu kwenye Ndoa kama miaka 8 hivi
Acha UPUMBAVU,fukuza hilo lisaliti.Acha kumsumbua waziri kwa umalaya wa mkeo ambaye anakuona bwege kiasi cha kutunga uongo wa kitoto kama huo.
Kama anatishia kujiua mchangie hela ya kununua kamba au sumu.Huyo malaya akishakufa itakuwa rahisi kwako kulea watoto kuliko akiwa hai.
 
Huyo mwanamke msamehe maisha yaendelee. Kumbuka alifanya hivo sababu ya umasikini wako. Kama isingekuwa umasikini huyo mke wako asingeenda Hizo ofisi za microfinance kuomba mkopo. Na ili aweze kupewa hela japo ni mkopo ilimlazimu ajilegeze ili kutatua changamoto yenu ya UJENZI nadhani jengo lilikaribia kuporomoka Kama asingewahi. Ni kweli inawezekana siku ya kwanza alilazimishwa na mkeo akakubali kishingo upande na hakupiga kelele sababu ya aibu za kiafrika. lakini baadae inaonekana alinogewa ko akawa anafanya kwa hiari yake ukizingatia wewe mme ulikuwa mbali. Kumbuka alikuwa analazimika kila mwezi kwenda kuchukua salio kwa huyo meneja. Ko mazingira hayo yalichangia kwa kiasi kikubwa.
 
So hii meditation inakuonyesha ubaya ukiwa ushatokea ila haukuonyeshi kabla ili uuzuie?

Na ukaamua kumlazimisha akubali ili nafsi yako iridhike kua meditation hua haikosei.

Mimi ninaona unahitaji msaada wa afya ya akili, geuza hiyo imani.
 
Nakushauri kausha tuu, abaki na hizo talaka 2, kupata mtu muaminifu siku hizi ngumu sana,

Mke wako anakupenda ndio maana anashiriki pamoja na wewe mambo ya kimaendeleo, na anajiweka dhamana kama hivyo usikwame
Afate huu ushauri mkuu,infact mwanmke anajililia kwake means anajutia alichokitenda,Kusamehe nikazi saa ila nikitu kitakachomlipa endapo akifaulu kumsamehe mkewe.nahuenda mkewe akaja kua bora zaidi na makini zaidi baada ya kusamehewa.
 
Mwanamke huendeshwa na hisia na ndio zimefanya kafanya hayo mambo.

MWANAUME hutumia akili Na ndio mana hata mke akigundua kuna mchepuko Na akakuuliza huwezi kukubali kama unagonga huyo demu.

Mkeo mzuri na unampenda sana
Mkeo anakupenda Sana ndio mana kakuzalia watoto watatu.

Mke wako Kakwambia ukweli kama jamaa kagonga.

Sasa hisia zisikupekele ukaharibu ndoa yako mwenyewe mkuu.

Mchizi kugonga mara moja inauma lakini inauma zaidi kama mkeo atakuwa anaendelea na jamaa.

Mrudie mkeo kaka.
Mrudie mkeo kaka.
Mrudie mkeo kaka.

Akiendelea basi maamuzi yako ni muhimu kwamaana hawezi kuacha hata huko aendapo.
Fata ushauri huu pia kaka!!
 
Wewe husalliti?
Aiseeh pole sana kama mimi mwanaume siwezi kuishi na mwanamke msaliti nadhani ndio utakuwa mwisho wetu anyway maamuzi jinsi ya kuhandle issue ya usaliti zinatofautiana kati ya mtu na mtu kuna wanaoweza kusamehe na maisha yakaendelea its up to your mwenyezi mungu akutie nguvu na hekima katika kipindi hiki ila kwa mimi big no utaumia sawa ila utakuwa sawa zaidi...
 
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile.

IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu Ukabidi Niende Dodoma kama miezi mitano au sita Ilopita Na yeye Nikamuacha Tabora.

Tulikuwa tunawasiliana Vizuri tu na kuna kipindi Ilitokea Shida kidogo mwezi mmoja baada ya mimi Kuondoka, Kulitokea Hitilafu Kwenye Ujenzi tunaofanya hapo Kahama kwakuwa nilikuwa mbali na yeye Ni mfanyakazi wa Serkali nikamuomba akakope Pesa Kiasi halafu nitakuja Kufidishia (Ndiyo Tinavyofanya siku zote).

Kama Jukumu likiwa la kwangu na yeye akiwa na means ya kufanya bhasi anafanya Mimi naandika deni.

Kwakuwa Benki walikuwa wanachelewa Ikabidi aende kwa wanaoacha Kadi akafanikiwa na kupata pesa na kila mwezi akawa anakatwa pesa zake na alikuwa anafata kiasi kinachobaki hapo ofisini..

Wiki Moja kabla nikawa Nahisi Kama Kuna uwezekano Mke wanhu ananisaliti (Mimi ni mtu wa Kufanya Sana Meditation Hivyo Hisia zikinijia bhasi lazma nizifanyie Meditation Kwa siku angalau mbili na huwa napewa clear Picture)..

Kipindi nafanya Meditation nikawa naona kabisa Mke wangu ananisaliti sasa Baada ya miezi minne kuondoka huko Nikawa namuuliza Huko ni salama mbona kama kuna kitu kibaya unafanya jibu lake hakuna shida yoyote.

Guyz huyo jamaa wa Microfinace simjui na Sijakutana naye ila kuna kitu kikawa kina niambia nimuulize Wife na nimkazanie kuhusu Huyo mtu kwa nguvu mpaka aseme ikibidi Nitumie uongo wowote kama mwanaume..

Nilifanikiwa Kimlazimisha na kumuuliza hatimaye akaamua kugunguka kuwa yule Jamaa wa Microfinace alimbaka Yeye alipokuwa Ofisini kwake Kuchukua Kiasi cha Pesa Kilichobaki na wala haikuwa dhamiri yake.

Nikamuiliza Umereport tukio hilo akajibu "Hapana"
Nikamuuliza Ulipiga kelele akajibu "Hapana maana nisingesikika wala watu wasingeniamini"

Nikawaza sana huyu Wife nimezaa Naye watoto watatu..
Na anassma alimbaka Miezi minne Exactly tangu nilivyoondka ila nisingemuuliza Nadhani ingeendelea Kuwa story ya siri yake..

Ninawaza kumpa Talaka Tatu ila bado nahofu na watoto wangu Nimempa Talaka 2 ila akili yangu bado inaona nimeumizwa sana nastahili kufanya kitu ila bado moyo unavuja damu nifanye nini??

Naombeni wan JF mnishauri Nifanye Nini maana naumia Sana.

Na kwa maelezo yake Bado siamini kabisa.

Naombeni sana Ushauri maana ametishia Kujiua endapo sitamrejea

ushauri uliopewa hapa JF ni vizuri ukampata MTU wa kukupa tiba ya uhakika.

maana watu wengi hawajaandika ili upone Ila wameandika kwa hisia zao.

Ikiwa bado hujapata insight nzuri tuwasiliane.

Ila jiepushe na huu ushauri

@ Fukuza

tatizo linapotokea Kama hilo linalohusisha maumivu ya kihisia huwa ni weak up call kukujulisha kuwa kuna kitu hakipo sawa na kinahitaji kurekebishwa.

Ikiwa utajikita kuwa survivor na sio victim , utafanya come back kubwa na familia yako kuwa stable kuliko hata mwanzo.

Sisi binadamu awe mwanamke awe mwanaume tupo katika kujifunza ili tuwe bora .

Kinachoweza kukufanya uone hilo ni tatizo kubwa ni kuwa upo emotionally driven na sio logically.

Natamani kuandika ili kukusaidia
 
Okay.
Je meditation haiwezi saidia ukapata solution?
Uko na brain nzuri sana Demi, and I like your thinking capacity ila fanya uwezavyo usimsaliti MUME, kwa mahusiano mengine sawa ila sio kwa MUME.
 
Uko na brain nzuri sana Demi, and I like your thinking capacity ila fanya uwezavyo usimsaliti MUME, kwa mahusiano mengine sawa ila sio kwa MUME.
Muoshwa huoshwa...malipo ni hapa hapa duniani🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Back
Top Bottom