Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

Hapo sawa.
Huyo mkeo katuangusha sana wanawake..iweje akubali na kutoa maelezo wakati wewe huna ushahidi?
Haikuwa Rahisi Unajua mwanaume Ukitaka kumbana Msichana sio Kazi kubwa..

Nilijivika Confidence Kubwa sana ya Kumuaminisha nimeambiwa matukio Mengi sana kuhusu Yeye Na watu Wa hapo Mtaani na wao wameelezwa na walioyafanya..
Confidence niliouliza nayo Ndo iliyomshangaza Sikutaka kuuliza kama mtu anayetaka Uhakika Ila mtu mwenye Uhakika na analalamika kwa nini Amefanya hivyo..

Na unajua sisi wanaume huwa tunasoma Reaction zako Kipindi unajibu Maswali na Hapo ndo niligundua..
 
Aiseeh pole sana kama mimi mwanaume siwezi kuishi na mwanamke msaliti nadhani ndio utakuwa mwisho wetu anyway maamuzi jinsi ya kuhandle issue ya usaliti zinatofautiana kati ya mtu na mtu kuna wanaoweza kusamehe na maisha yakaendelea its up to your mwenyezi mungu akutie nguvu na hekima katika kipindi hiki ila kwa mimi big no utaumia sawa ila utakuwa sawa zaidi...
Shukrani mkuu mimi Moyo unakataa kabisa kuendelea naye Unless Tuendlee naye kwa ajili ya watoto ila sitaweza Kushiriki naye tendo
 
Haikuwa Rahisi Unajua mwanaume Ukitaka kumbana Msichana sio Kazi kubwa..

Nilijivika Confidence Kubwa sana ya Kumuaminisha nimeambiwa matukio Mengi sana kuhusu Yeye Na watu Wa hapo Mtaani na wao wameelezwa na walioyafanya..
Confidence niliouliza nayo Ndo iliyomshangaza Sikutaka kuuliza kama mtu anayetaka Uhakika Ila mtu mwenye Uhakika na analalamika kwa nini Amefanya hivyo..

Na unajua sisi wanaume huwa tunasoma Reaction zako Kipindi unajibu Maswali na Hapo ndo niligundua..
Okay.
Je meditation haiwezi saidia ukapata solution?
 
Ok sawa Mimi Ni Mwanaume wa makamo!
Pole sana. Inaonekana ulikuwa unamwamini sana mke wako. Tuko wengi tuliopitia haya mambo. Sema wewe ulitakiwa usiwe na papara, unyate mpaka uwakamate. Ushauri wangu: Mwambie huyo mke wako aende polisi akatoe habari na anaseme kuwa alitishiwa maisha ndiyo maana akaogopa kufanya lolote. Bila shaka kwa Tanzania, itakuwa ngumu sana kuthibisha huo ubakaji, ila utakuwa angalau ''umemtingisha'' huyo mla mali za watu. Na kama ana mke, fanya mpango mke wake ajue. Ukienda polisi jiandae kuwa na fedha ya kuhonga na mbaya zaidi kama huyo jamaa ana fedha zaidi yako itakuwa kesi ngumu.
 
It will take you sometime to forget it, hilo kovu litakuwa baya sana kisaikolojia kwako, nakushauri utafute viongozi wa kidini wanaweza kukupa ushauri mzuri zaidi namna ya kuimaliza hiyo vita unayopigana sasa ndani ya nafsi yako.

Naamini vita ya namna hiyo huwa haimalizwi kimwili, kuacha mke, au kutafuta mwanamke mwingine pembeni uwe nae, hakuwezi kukusahaulisha kilichotokea, hasa kama ulimpenda kwa dhati na kumuamini mkeo.

Chochote utakachoamua kufanya lazima ukumbuke kuna watoto mnalea, wanaowategemea, hivyo usijekuchukua uamuzi wowote utakaoleta madhara kwa watoto wenu mbele ya safari.

NB. Umenifungua macho sana kwenye issue ya meditation, kama umeweza kuitumia kutambua tatizo lililokuwepo na ikawa kweli, je, meditation haiwezi kukupa solution ya tatizo linalokusibu?
 
Back
Top Bottom