Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Ameshafanyiwa hvyo ,na huyu mheshimiwa sidhani kama atakusaidia kuondoa hio tunda lililobakwa😅
Kosa la mke wako ni kukuambia ukweli? Mshukuru hata kakuambia ukweli maisha yaendelee maana naona huwezi kumuacha kabisa na huna msimamo, angekaa kimya ungeendelea kula hapo tu mbona, ukweli una gharama, uongo una gharama pia
, ila umepanick sana bro, Ebu tulia kwanza, tuliza nafci,
Pole sana
kunywa maji mengi
fumba macho tuombe.

Ni kweli Kabisa Mkuu Hivi mama Dkt. Gwajima D hawezi kunisaidia au hakuna Sheria "Kama kweli amebakwa" za kufuata..
Na kiukweli Mkuu Nilikuwa Ninamwamini sana Mke wangu kwa sababu nimekuwa naye kwa muda mrefu kwenye Ndoa kama miaka 8 hivi