Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana. Kama kweli ilikuwa ni ubakaji nendeni mkamfunguie kesi ya kubaka. Msamehe tu mkeo ilikuwa ni ngumu kuja kukwambia at once kuwa kabakwa, lakini kwa kuwa nyote mmeshafahamu, inabidi mumchukulie sheria huyo Jamaa wa Microfinance na mke kupima kama amepata maambukizi ya HIV.Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile.
IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu Ukabidi Niende Dodoma kama miezi mitano au sita Ilopita Na yeye Nikamuacha Tabora.
Tulikuwa tunawasiliana Vizuri tu na kuna kipindi Ilitokea Shida kidogo mwezi mmoja baada ya mimi Kuondoka, Kulitokea Hitilafu Kwenye Ujenzi tunaofanya hapo Kahama kwakuwa nilikuwa mbali na yeye Ni mfanyakazi wa Serkali nikamuomba akakope Pesa Kiasi halafu nitakuja Kufidishia (Ndiyo Tinavyofanya siku zote).
Kama Jukumu likiwa la kwangu na yeye akiwa na means ya kufanya bhasi anafanya Mimi naandika deni.
Kwakuwa Benki walikuwa wanachelewa Ikabidi aende kwa wanaoacha Kadi akafanikiwa na kupata pesa na kila mwezi akawa anakatwa pesa zake na alikuwa anafata kiasi kinachobaki hapo ofisini..
Wiki Moja kabla nikawa Nahisi Kama Kuna uwezekano Mke wanhu ananisaliti (Mimi ni mtu wa Kufanya Sana Meditation Hivyo Hisia zikinijia bhasi lazma nizifanyie Meditation Kwa siku angalau mbili na huwa napewa clear Picture)..
Kipindi nafanya Meditation nikawa naona kabisa Mke wangu ananisaliti sasa Baada ya miezi minne kuondoka huko Nikawa namuuliza Huko ni salama mbona kama kuna kitu kibaya unafanya jibu lake hakuna shida yoyote.
Guyz huyo jamaa wa Microfinace simjui na Sijakutana naye ila kuna kitu kikawa kina niambia nimuulize Wife na nimkazanie kuhusu Huyo mtu kwa nguvu mpaka aseme ikibidi Nitumie uongo wowote kama mwanaume..
Nilifanikiwa Kimlazimisha na kumuuliza hatimaye akaamua kugunguka kuwa yule Jamaa wa Microfinace alimbaka Yeye alipokuwa Ofisini kwake Kuchukua Kiasi cha Pesa Kilichobaki na wala haikuwa dhamiri yake.
Nikamuiliza Umereport tukio hilo akajibu "Hapana"
Nikamuuliza Ulipiga kelele akajibu "Hapana maana nisingesikika wala watu wasingeniamini"
Nikawaza sana huyu Wife nimezaa Naye watoto watatu..
Na anassma alimbaka Miezi minne Exactly tangu nilivyoondka ila nisingemuuliza Nadhani ingeendelea Kuwa story ya siri yake..
Ninawaza kumpa Talaka Tatu ila bado nahofu na watoto wangu Nimempa Talaka 2 ila akili yangu bado inaona nimeumizwa sana nastahili kufanya kitu ila bado moyo unavuja damu nifanye nini??
Naombeni wan JF mnishauri Nifanye Nini maana naumia Sana.
Na kwa maelezo yake Bado siamini kabisa.
Naombeni sana Ushauri maana ametishia Kujiua endapo sitamrejea
46 kijanaHabari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile.

Huu sio.ushauri uliombwa shenzi sanaMiaka 46 sio kijana
Miaka 46 wewe sio kijana wewe ni mtu mzima unayelekea uzeeniMimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46
It will take you sometime to forget it, hilo kovu litakuwa baya sana kisaikolojia kwako, nakushauri utafute viongozi wa kidini wanaweza kukupa ushauri mzuri zaidi namna ya kuimaliza hiyo vita unayopigana sasa ndani ya nafsi yako.
Naamini vita ya namna hiyo huwa haimalizwi kimwili, kuacha mke, au kutafuta mwanamke mwingine pembeni uwe nae, hakuwezi kukusahaulisha kilichotokea, hasa kama ulimpenda kwa dhati na kumuamini mkeo.
Chochote utakachoamua kufanya lazima ukumbuke kuna watoto mnalea, wanaowategemea, hivyo usijekuchukua uamuzi wowote utakaoleta madhara kwa watoto wenu mbele ya safari.
NB. Umenifungua macho sana kwenye issue ya meditation, kama umeweza kuitumia kutambua tatizo lililokuwepo na ikawa kweli, je, meditation haiwezi kukupa solution ya tatizo linalokusibu?
Kwa nini uliwachagulia watoto wako mama ambaye ni malaya? Umewakosea sana watoto wakoila bado nahofu na watoto wangu
Huyu kijana wa 46 ana kijana wa 34 alimzaa akiwa na miaka 12.....kweli vijana wa zamani walikua mashababi.Miaka 46 sio kijana
Kwani Mjomba ulimuoa akiwa bado Bikra?Sio Bank ni hizi Microfinance
Jamba piapole sana faza duh😭😭ninelia sana
Ulimuoa akiwa bado Bikra?Shukrani Mkuu napitia Maumivu makali sana
Ruge (R.i.P) alifariki akiwa na umri wa miaka 49 na alitangazwa kama kijana.Miaka 46 sio kijana