Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

Pole sana mkuu kwa hili
But pia unatakiwa kujua kuwa mahusiano sio ya watu wengi ni ya wew na mkeo so unavoomba ushauri u have to know humu unapoomba ushauri wengine wamevurugwa na maisha tayarii wanaweza kukupa ushauri wa kijinga na ww ushindwe kuelewa ukautumie just listen to your heart kinaongea nin ufanye maamuz yenye ambayo hayatakuletea majuto kwa mda mwingin

Lakini pia wewe una watu ambao ni kama viongozi maybe kwenye dini or kwenye ndoa yenu yupo ambae mnamueshimu just follow them afu sasa hao ndo watakupa ushauri

Sio kila mtu ni wa kukupa ushauri my friend. Pole sana for the situation
 
Mkuu, kwa afya ya maisha yako, MSAMEHE. Fanya juhudi za kuishi nae pamoja.

SAMEHE.
Fuata ushauri huu,huu ndio ushauri mzuri.Na wala usilete kumbukumbu tena moyoni mwako.
Sio kazi rahisi kama mnavyofikiria vijana na jinsi wanaume tulivyo na wivu hivi 😂😂😂😂 Mtasababisha mmama wa watu siku moja anyongwe huko hayaa nyie lazimisheni watu hivyohivyo kuishi na watu waliovunja mioyo yao na ikavuja damu.

Ndugu yangu watoto atakuwa anawatembelea tu kwa mama yao tena itakuwa ni salama ya mama yao wewe kumtaliki, wangapi wameishi na mzazi mmoja na wamekua vizuri tu na saizi wana familia zao wanaishi nazo kwa upendo?

Ko mkishauri mtu asamehe na kusahau jueni mnakaribisha balaalingine zito sasa.
 
Pole mkuu,sema chakufanya tuliza moyo ,ndio utoe mahamuzi,usikulupuke,
 
It will take you sometime to forget it, hilo kovu litakuwa baya sana kisaikolojia kwako, nakushauri utafute viongozi wa kidini wanaweza kukupa ushauri mzuri zaidi namna ya kuimaliza hiyo vita unayopigana sasa ndani ya nafsi yako.

Naamini vita ya namna hiyo huwa haimalizwi kimwili, kuacha mke, au kutafuta mwanamke mwingine pembeni uwe nae, hakuwezi kukusahaulisha kilichotokea, hasa kama ulimpenda kwa dhati na kumuamini mkeo.

Chochote utakachoamua kufanya lazima ukumbuke kuna watoto mnalea, wanaowategemea, hivyo usijekuchukua uamuzi wowote utakaoleta madhara kwa watoto wenu mbele ya safari.

NB. Umenifungua macho sana kwenye issue ya meditation, kama umeweza kuitumia kutambua tatizo lililokuwepo na ikawa kweli, je, meditation haiwezi kukupa solution ya tatizo linalokusibu?
Ko huyo mwanamke alipokuwa anasaliti alikuwa hafikirii kesho ya watoto wake endapo mumewe atajua?

Kwanini mtendwa tu ndiyo mnamkumbusha sana suala la fyucha ya watoto?

Watoto ataendelea kuwahudumia tu, ila mwanamke msaliti kuvumilika ni ngumu aisee!
 
Mkuu Umesoma Vizuri..
Ni kwamba kuna baadhi ya Vifaa vilipelea na ilikuwa inahitajika haraka..bank ingechelewa kutoka..
So ikabidi akachukue kwa Microfinance Wanakoacha kadi
Wewe ndo hujanielewa, ujenzi hauna haraka siku zote
Ukitaka haraka haraka ndo matokeo yake hayo.
 
Sema bado kakudanganyaaa... Hajambakaa mara mojaaaaa mkuu..!!
 
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile.

IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu Ukabidi Niende Dodoma kama miezi mitano au sita Ilopita Na yeye Nikamuacha Tabora.

Tulikuwa tunawasiliana Vizuri tu na kuna kipindi Ilitokea Shida kidogo mwezi mmoja baada ya mimi Kuondoka, Kulitokea Hitilafu Kwenye Ujenzi tunaofanya hapo Kahama kwakuwa nilikuwa mbali na yeye Ni mfanyakazi wa Serkali nikamuomba akakope Pesa Kiasi halafu nitakuja Kufidishia (Ndiyo Tinavyofanya siku zote).

Kama Jukumu likiwa la kwangu na yeye akiwa na means ya kufanya bhasi anafanya Mimi naandika deni.

Kwakuwa Benki walikuwa wanachelewa Ikabidi aende kwa wanaoacha Kadi akafanikiwa na kupata pesa na kila mwezi akawa anakatwa pesa zake na alikuwa anafata kiasi kinachobaki hapo ofisini..

Wiki Moja kabla nikawa Nahisi Kama Kuna uwezekano Mke wanhu ananisaliti (Mimi ni mtu wa Kufanya Sana Meditation Hivyo Hisia zikinijia bhasi lazma nizifanyie Meditation Kwa siku angalau mbili na huwa napewa clear Picture)..

Kipindi nafanya Meditation nikawa naona kabisa Mke wangu ananisaliti sasa Baada ya miezi minne kuondoka huko Nikawa namuuliza Huko ni salama mbona kama kuna kitu kibaya unafanya jibu lake hakuna shida yoyote.

Guyz huyo jamaa wa Microfinace simjui na Sijakutana naye ila kuna kitu kikawa kina niambia nimuulize Wife na nimkazanie kuhusu Huyo mtu kwa nguvu mpaka aseme ikibidi Nitumie uongo wowote kama mwanaume..

Nilifanikiwa Kimlazimisha na kumuuliza hatimaye akaamua kugunguka kuwa yule Jamaa wa Microfinace alimbaka Yeye alipokuwa Ofisini kwake Kuchukua Kiasi cha Pesa Kilichobaki na wala haikuwa dhamiri yake.

Nikamuiliza Umereport tukio hilo akajibu "Hapana"
Nikamuuliza Ulipiga kelele akajibu "Hapana maana nisingesikika wala watu wasingeniamini"

Nikawaza sana huyu Wife nimezaa Naye watoto watatu..
Na anassma alimbaka Miezi minne Exactly tangu nilivyoondka ila nisingemuuliza Nadhani ingeendelea Kuwa story ya siri yake..

Ninawaza kumpa Talaka Tatu ila bado nahofu na watoto wangu Nimempa Talaka 2 ila akili yangu bado inaona nimeumizwa sana nastahili kufanya kitu ila bado moyo unavuja damu nifanye nini??

Naombeni wan JF mnishauri Nifanye Nini maana naumia Sana.

Na kwa maelezo yake Bado siamini kabisa.

Naombeni sana Ushauri maana ametishia Kujiua endapo sitamrejea
Talaka hata utowe mia kwa wakati mmoja inahesabika moja tu.
 
Babu jinga mali zako zimeliwa.

Uamuzi ni wako, usameh na uishi nae au usisameh muwachane.

Nini kinakutatiza hapo?
 
Back
Top Bottom